Acha uchonganishi. Yani unajaribu kusema alitumia muda wote kuandika huu wimbo ili amjibu Jide?Naona Jide kajibiwa kisomi zaidi sana hizo zote falsafa ndio maana anaitwa mwanafalsafa.
Wale mashabiki wa Jide walosema MwanaFa hana hela majibu yenu ni wengi wetu hamna hata laki na mnamwita mwenzenu masikini. Pia Mwanafa anasema sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri kisa show ndio kanuna hii yote roho mbaya jide big up Fa Mfalme watajifunza tu.
Huyu ni one of my best producers of every year:Hata wakimnyima tuzo but honestly Marco ni Mkali na hata nyimbo za wakongwe ukiona producer mwingine but lazima mixing ukute kafanya Marco...
I appreciate this dude.
Huyu ni one of my best producers of every year:
Sasa hivi ana nyimbo
Asante ya Ay
God zilla ft Marco chali
Mfalme FA ft G.nako
nani katekenya hilo beat.? Producer..!! Lohhhh...
Mwana FA nilimkubali sana tangu ingekuwa vp hadi Msiache kuongea baada ya kuanza mambo ya kishenzi nikamtupa kwenye dustin bin ila kwa ngoma hii nimekubali tena,ushauri mwingine huyo Fa akipiga nyimbo na Ay haziwi bomba sema zinapata tu promo ila ni mbaya bora aendelee kufanya yeye kama yeye check binamu,mabinti,mfalme,msiache kuongea ila hizi sijui kukunja goti yani full cr.aps
link tu download please..
Huyu ni one of my best producers of every year:
Sasa hivi ana nyimbo
Asante ya Ay
God zilla ft Marco chali
Mfalme FA ft G.nako
Marco Chali & Nahreel
Mfalme beat imetengenezwa na Nah Real, vocal ndo Marco Chali
Ye mwenyewe na mabinti dam dam atashindwaje kuwataja wenzake?[/QUOTE]Ila hivi FA hawezi kuimba wimbo bila kuweka neno kicheche kwenye punchline zake...
Mixing na Vocal kafanya Chali.Mfalme beat imetengenezwa na Nah Real, vocal ndo Marco Chali
Vipi kuhusu Nangoja ageuke, Asubuhi, Habari ndio hiyo?! Kwangu AY wa sasa ni msanii wa kawaida sana, ukilinganisha kipindi kile ndio anatoka. Sema video zake ndio zinambeba.
You real deserve yo name kweli umeimba kifalsafa zaidi waache wasiotumia akili kuropoka maisha ya watu wasiyoyajua.
Ila hivi FA hawezi kuimba wimbo bila kuweka neno kicheche kwenye punchline zake...