Mwana FA ft. G Nako - Mfalme [lyrics]

just downloaded..,hakika ni wimbo mzuri saaanaa. Huyu ndo FA , ILA KAMA UNAISHA FASTA HIVI..
G nako, kanogesha nooma saanaa.
 

nani katekenya hilo beat.? Producer..!! Lohhhh...
 

nimerespect mashairi ya FA ila umeniudhi mnoo baada ya kusoma koment yako
kumuingiza kamanda Jide ktk mashairi haya, umeniudhi sana aisee!!!
 
kwa taharifa yako FA ndio msanii mwenye roho mbaya kuliko wasanii wote nchi hii,alafu akawa na rafiki ana roho nzuri kinoma AY,sijui ata wanawezanaje....ila hii ngoma ya mfalme ni kali sana ata Ivo

washukuru kwa kuliona hilo mkuu, hayo ni mawazo tu..lkn tabia ya mtu itabaki palepale...huyu FA anaonekana mbinafsi sana!
 
Mwana FA nilimkubali sana tangu ingekuwa vp hadi Msiache kuongea baada ya kuanza mambo ya kishenzi nikamtupa kwenye dustin bin ila kwa ngoma hii nimekubali tena,ushauri mwingine huyo Fa akipiga nyimbo na Ay haziwi bomba sema zinapata tu promo ila ni mbaya bora aendelee kufanya yeye kama yeye check binamu,mabinti,mfalme,msiache kuongea ila hizi sijui kukunja goti yani full cr.aps
 
Ila hivi FA hawezi kuimba wimbo bila kuweka neno kicheche kwenye punchline zake...[/QUOTE]
Ye mwenyewe na mabinti dam dam atashindwaje kuwataja wenzake?
 
Na mimi nina tatizo na hilo, nasikitika sana uovu na ubaya ukilinganishwa na wanawake.

yani karibia nyimbo zote za FA ukisikia lazima ukute verse la kuwadis wanawake as if they are only evil in this world.
 
Narehel na Marco ----ing CHALI(As FA calls him)

Hata wakimnyima tuzo but honestly Marco ni Mkali na hata nyimbo za wakongwe ukiona producer mwingine but lazima mixing ukute kafanya Marco...
I appreciate this dude.
 

AY hajui kuimba promo ndo anaiweza ila hana nyimbo nzuri kama FA na hakuna ngoma ya FA ambayo ni mbaya, japo anaendekeza beef na watoto wakike ila still FA anaweza sio kama wengine wa promo.
 
kwa taharifa yako FA ndio msanii mwenye roho mbaya kuliko wasanii wote nchi hii,alafu akawa na rafiki ana roho nzuri kinoma AY,sijui ata wanawezanaje....ila hii ngoma ya mfalme ni kali sana ata Ivo

Wanao sema wenzao rudi nyuma angalia Maisha yao-FA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…