upupu255
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 341
- 476
Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA akigusia kwa uchache faida zinazoweza kupatikana kutoka kwenye Samia Celebrities and Companies Cup.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mashindano hayo yalianzishwa msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini.
Pia, Soma: Alikiba aja na mashindano ya kumpigia debe Rais Samia 'Samia Celebrities and Companies Cup'