Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

Ukimpa nchi mswahili basi tegemea upuuzi na uozo kama huu.

Ndugu kwa hiyo kwako washahili ni watu wasiofaa kabisa kuongoza, punguza basi hasira za udini, utaumia moyo wako bure

"My religion is truth." These four little words from Diane
 
Pinto naye yupo kwenye mgao wa escrow 400mils hizo nadhani ni za ridhimoko.
 
Dah! Hata Juma Pinto??!!! Ama kweli huu ni mwaka wa mwisho wa mkuu wa kaya. Asanteni sana CCM.
Ova
 
Hata mimi ningekamata fursa 😎😎😎😎😎😎😎😎

Ila juma sembe usiuze
 
Hili jina la Juma Pinto ni maarufu sana kwenye Dili nyingi chafu zinazohusisha viongozi wakuu wa nchi na wafanya biashara wakubwa. Naomba wadau wanaomfahamu watujulishe profile yake na hizo Dili na kwa nini vyombo vya dola vinamuoga. Last month nasikia alivusha dawa za kulevya bila kuulizwa pale JKNIA
 

Ni hausiboi wa rizione.
 
Juma Pinto ni mtaalamu wa dili chafu zote na anajihusisha na kambi mojawapo ya uraisi 2015 kupitia magazeti yake ya Jambo Leo
 
Juma Pinto gani huyo? Pinto huyuhuyu aliwahi kujilipua na kuwa muingereza ambaye hadi leo hajaukana uingereza lakini amukana utanzania? Pinto huyuhuyu ambaye hata kumaliza form four kulimshinda? Pinto huyu huyu ambaye kazi yake kubwa kuwasifia viongozi jinsi walivyopendeza? Au Pinto yupi jamani? si huyu Pinto wa Taswa sijui alikuwa Taswa au Pinto mwingine? Pinto huyuhuyu mjanja mjana wa mjini? Amaaaaaa nchi hii!
 
Yaani huku ni kujipigia debe kwa Juma Pinto
labda kwa wale wasiomjia mwandishi wa habari za Michezo anayejipendekeza kwa Mkuu wa Kaya toka kipindi kile
leo eti na Ubunge wa Temeke anautaka
sijui ngoja tupite maana hata hayo majigambo nimeshindwa yamalizia
 

mbona huyu mleta uzi ana-sound like kumponda (na si kumsifia/kumpongeza) Juma Pinto??

or is it me?
 
Serikali ya kiujanja ujanja hii, ya kimjini mjini, ya kishkaji.
Ila imeshaanza kuwagharimu ba itagharimu mpaka vizazi vyao vya 4, pole JK.
 
...hivi nani alifanya huu uteuzi wa JUma Pinto???....kama ni Rizwani Kikwete nitaelewa..maana ni mshkaji wake wa karibu sana..Lakini kama ni rais kamteua lazima tuwe na maswali mengi sana juu ya teuzi hii....Inawezekanaje wauza unga hawa wanateuliwa kuwa members wa bodi zetu zenye heshima???..huku ndio kunaitwa kupeana ulaji...yaani huyu rais anataka atakapoondoka madarakani awe ameacha watu wake kwenye kila nafasi inayowezekana....hii ni hujuma....
....Pinto namjua..wanamiliki na Rizwani ile pub ya city lounge pale askari monument dar city centre...huyu Pinto ndie anajulikana boss pale..lakini mmiliki wanasema ni Rizwani Kikwete....Binafsi nimemkaza demu mhudumu anaehudumia pale city lounge pub akanijuza mengi kuhusu watu hawa...hawafai yaani....
 
Juma Pinto huyu muuza madawa ya kulevya ninayemjua au mtu mwingine. Jaman neno uzalendo limekuwa adimu sana.
 
Huu uteuzi umealead into absurdity.

1. Kwa sababu mh Naibu spika ana conflict of interest Kwenye hiyo body kwa maana hiyo wakati wa maamuzi ya kusimamia body inabidi ajieleze kwa waheshimiwa wabunge interest zote alizo nazo Kwenye body then wabunge waamue kama atoke ama abaki na strategically haiwezekani yeye kujisimamia nadhani haya maajabu ya dunia yanatokea Tanzania tu sijawahi kuona popote.

2. Kama Pinto anavyolalamikiwa humu inaonyesha Kabisa tulipofika kama nchi watanzania Kama nchi nadhani tuna kila sababu ya kumrudia Mungu wetu tumepotea na vizazi vyetu vitatuhukumu.

In in short the appointment has lead into absurdity that needs immediate action to rescue the situation
 
..alafu inakuwaje mbunge anakuwa board member???hili limeshapigiwa sana kelele hata bungeni....alafu mbunge mwenyewe ni naibu spika...hivi hii conflict of interest iliyojegwa hapa itawezaje kuruhusu mjadala wenye manufaa kwa nchi pale bungeni mara matatizo huko utalii yatakapokuwa yanajadiliwa bungeni???....hivi watu wanaofanya haya maamuzi huwa wanatumia akili gani????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…