Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

Juma Pinto amekulipa shilingi ngapi? Maana umejitahidi kwa kweli....asipokulipa njoo ukanushe maneno yote ya hapo juu.
 
Hii nchi ina laana isiyo na ukomo....tujikubali tulivyo tu ......

JUMA PINTO ALIEMKATAIA TIKETI MASOGANGE? na ndiye alimsindikiza airport dar safari iliyopelekea kukamatwa kwake SA? au juma pinto yupi?????
 



Nairobian Hizo ndio shida za ELIMU ya KATA ? sijui hao wote uliowaongelea wametoka wapi... I just mentioned JUMA PINTO na RIDHIWANI KIKWETE...

Nina proof kuwa wanajuana; nina proof kuwa Kuitangaza nchi kiutalii pesa zilikuwa sio za kwake alikuwa Money-less just like anyother Tanzanian in FOREIGN COUNTRY; Hakuna kutukanana hapa ni kupatiana habari na kuelezana ni jinsi gani nchi yetu tunaila bila sisi wengine kujua...

Demokrasia ya kweli ikiingia nchini wengi wataumia - sijui nyie mtakimbilia wapi kwasababu ukweli utawatoa UVUNGUNI...

Angalia hii issue ya WORLD BANK na NCHI wahisani kugoma kutoa PESA za kutusaidia BAJETI YETU; hii ni BAJETI ya 2015... wewe Unaruka ruka na kuteuliwa kwa JUMA PINTO BODI ya NGORONGORO haujui kama atalipwa pesa za mahudhurio ya hiyo MIKUTANO...

Remember WHAT GOES AROUND WILL COME BACK TO HUNT U...
 

Mods mnamlea sana huyu kubwa jinga, yes kubwa jinga kwa upuuzi wake wa kishenzishenzi huku akitumia multiple ids!!

Paragraph ya mwisho kwa kuitaja CHADEMA na Henry Kileo kuwa ndio waliomtuma mtuma Masogange kusafirisha madawa South inathibitisha ushenzi wake wa kuzusha kwa wasiohusika wakati anatetea mabwana zake!!!
 


Na mie nimeshangaa jinsi alivyomsifia huyo bwanake, maana mpaka ikabidi niache kusoma na kuangalia nani ameposti upuuzi huu, Pinto anajulikana uswahiba wake na REiz1, Biashara zao pia zajulikana vizuri mtaani, Pinto anajulikana vizuri tu kwa kujikomba ndani ya CCM kupitia gazeti lao (lao) la Jambo Leo, hivyo hata yeye kupewa u member bodi ya utalii hakuna kinachoshangaza, na hata akigombea huo ubunge kupitia chama chao cha CCM pia hakuna jipya ambalo litashangaza watanzania.
 

Itakuwa ni uonevu kama wakina Papa Msofe nao hawatapewa nafasi kama hizi. Usishangae ndiye anayesuka dili la helicopters uchina
 
List ya wauza unga ninayo. Naona ameamua kuwapa madaraka kulingana na list maana wamelitangaza jina la nchi yetu nje ya nchi, hususan China na tumepata wawekezaji na wafanyabiasha wengi kutoka china, baada ya Tanzania kuvuma huko kutokana na watu muhimu amabao List ya majina yao iko Ikulu. Hongereni watengenezaji wa panadol. Hongereni kwa utalii wa nje.
 
Hivi kuna mijitu mijinga sana namna hii humu?
yani watu wanasihindwa hata kusoma kitu na kutafakari na kuelewa kuwa mleta mada na aliyejifanya Le mutzu wameleta mada kinyumenyume?

DuH!
kazi ipo na hii elimu ya kata.
 
Ukimpa nchi mswahili basi tegemea upuuzi na uozo kama huu.
 
Huyu mtu mbona ametajwa kwenye mgawo wa kale kasungura kao ka tegeta!
 
Amekutuma vizuri sana lakini kamwambie tunafahamu sana mahusiano yake na mtoto wa mshua
 
Duh,this is now going to the "extreme" juma pinto namfahamu vzr sana sasa kweli nchi yetu inakwenda pasipo ni htr sana kwakweli lkn lzm km watanzania tuondokane na huu uozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…