Mwamvita Makamba aula

aiseeeee.......
 
No hating to the second family...first being the Rizimoko's

But for the .......'S sake don't know why the heck our premier, got time to see her before she leaves and someone like Elsie Kanza who is doing us proud , outstanding and distinguished Tanzanians, don't even have 5 seconds of his esteemed attention

Huyu kubadilishwa kituo cha kazi tu tayari kaweza kumuona

Angalau wale CAG auditors waliopangiwa kuaudit UN walioaga kwenda Newyork kuassume their duties ndio angewaaga kwa kuwausia wafanye risk based audit na ethics za kazi, na jinsi ya kulinda heshima tuliyopewa watanzania
 
David Minja, aliyekuwa marketing manager wa TBL amehamia kikazi South Africa mwaka jana, alivyoondoka wala hatukuona mbwembwe za kumuaga PM wala hata mkuu wa mkoa. Hiki alichokifanya Mwanvita kama si ushamba basi ni ulimbukeni
 
jama ndo naamka, Who the H is she, WTF happened, when did t happen, why? And Y the freaking heck is she wearing Green Vegetation??
 

Hapana kaka ana sifa hizi ambazo ni adimu, Ana mwanya, ana bwana mzungu, mtoto wa Makamba, dada wa Januari na kama unavyoona hapo ni boss huko vodacom na anahamishiwa SA, nilisahau ni msichana wa kwanza wa Kitanzania asie na mume kujenga hekalu/kasri... ni potential kwa nchi yetu ndio maana kaenda kumuaga Pinda!
 

Kaka kujenga hekalu/kasri mbona yako mengi tu kwa tanzania hii? kuna wanawake wanamiliki mpaka makanisa sembuse yeye? Mi naona tunamkweza tu maana wala hata hakustaili kukwezwa hivyo. Sisi hata akienda kufanya kazi uswisi wala haituhusu tunaangalia impact ya mtu husika kwa jamii ya watanzania. Kama kuwepo kwake voda labda kulituwezesha kupiga simu free basi tungeweza kusema lakini hii ni kawaida tu.
 
huyu dada wamemchomoa Voda for the sake of the company...alikua ana matumizi makubwa sana kwenye hii kampuni..huko south walipomhamishia atajuta kwakweli..am sure hajapenda hata kwenda maana alishazoea kujilalia kwenye kasri lake la bilionz..ukute south kitu cha soweto.......kwenda kuaga kwa PM ni kujibaraguza tu,....si kwamba namuonea wivu la hasha...its ur life n ahainihusu..wazungu wajanja sana
 

hapo voda tu alikuwa kimya! tumuombee akawajibike kivyake na familia yao
 
dada hasikikii jamaniii..........huko south hamna internet au??tunaomba feedback maana ulituaga
 
hata Mange humtumii picha za weekend zako humo unavyotumbua na wazulu.............umetuzoesha vibaya dadaa..............tunaomba japo picha
 

Sasa anamuaga Pinda kama waziri mkuu au rafiki wa baba yake?! Maanake visit za ofisini ni aidha 'official' au 'personal'.
 
tunaomba update tafadhali...kimya mnoo hautujazoea ivyo!! au Rene kamfanyaje mwana wa mwenzie
 
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....

Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...

Kwa hiyo unamaanisha kuwa yule Dully Sykes anaeimba muziki wa ubongo wa fleva jina lake alifikirie vizuri. Thats true hilo neno halina maana aliyotaka kuitumia mdau wetu kwa hiyo dada..asante kwa kutoa maana yake.
 
tuseme ofisini kwa pinda hamna hata laptop??. mbona ofisi imekaa kilocal sana?. mia
 
Kwa ninavyoona Vodacom watakuwa wamempeleka South Africa ili kuondoa mgongano wa kimaslahi(conflict on interest) kati yake na Naibu Waziri wa Wizara husika ya mawasiliano Tanzania. Kwa hiyo ili kulinda heshima ya kaka yake its better tukamweka kwa mbali ili aweze kutumia remote instead of manual kudili na interest ya kampuni yake.
Hongera sana likini..coz you played smart.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…