KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
Mwamvita ana cheo gani serikalini mpaka amuage waziri mkuu ofisini?wana jf naomba mnieleweshe
Mwamvita ana cheo gani serikalini mpaka amuage waziri mkuu ofisini?wana jf naomba mnieleweshe
dunia ni mapito tu,tusizubae sana,truly centre is only heaven.
'Remember, no matter who you are, or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage'-mwamvita.
Word sisy, dully noted madam.
Kwani wewe ukipata dili majuu unaweza kwenda kumuaga hata mkuu wako wa Mkoa?We nawe!!!! ni mtanzania anamuaga waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....
Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
me too wanna tell of the same to you and him or her of the what you see and of very his poor english! why talk the wrong of what you not sure of the spelling? why? be careful and not write dully! bad bad.Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....
Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
Wazungu wajanja sana ,ndo wanamuondoa Voda hivyo!nyie subirini tu ata miaka mitatu aitofika,wanamterminate wanamrudisha Bongo kazi kwisha,hapo ni sawa sawa na upo mabwe pande alafu askari mwenye SMG anakuambia haya kimbia nimekuachia nenda,kuna sehemu mtu alikuwa promoted kama hivi,lakini baada ya mwaka na nusu arirudishwa Bongo na kazi akurudishwa.