mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 Mar 13, 2023 #101 Ukitaka akina mama wakushushe kwenye gari ongelea mwamposa vibaya cjui aliwalisha nn
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #102 mjumbe wa bwana said: Ukitaka akina mama wakushushe kwenye gari ongelea mwamposa vibaya cjui aliwalisha nn Click to expand... UPAKO
mjumbe wa bwana said: Ukitaka akina mama wakushushe kwenye gari ongelea mwamposa vibaya cjui aliwalisha nn Click to expand... UPAKO
Marashi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,876 Reaction score 4,527 Mar 13, 2023 #103 nyanthorogo said: Pesa!!!! Anazifaidi yeye na mke wake!! Wajinga wanaendelea na shida zao mtaani!! Click to expand... masikini wanatuma na ya kutolea kudadadeki ...!
nyanthorogo said: Pesa!!!! Anazifaidi yeye na mke wake!! Wajinga wanaendelea na shida zao mtaani!! Click to expand... masikini wanatuma na ya kutolea kudadadeki ...!
N nyanthorogo JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 244 Reaction score 454 Mar 13, 2023 #104 MzeeKipusa said: Una uhakika na habari hizi? Click to expand... Ndio. Kwani Yesu wakati anafundisha alikuwa anakusanya hizo fedha ili awe tajiri?!!
MzeeKipusa said: Una uhakika na habari hizi? Click to expand... Ndio. Kwani Yesu wakati anafundisha alikuwa anakusanya hizo fedha ili awe tajiri?!!
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #105 nyanthorogo said: Ndio. Kwani Yesu wakati anafundisha alikuwa anakusanya hizo fedha ili awe tajiri?!! Click to expand... Naona kama unachanganya mafaili
nyanthorogo said: Ndio. Kwani Yesu wakati anafundisha alikuwa anakusanya hizo fedha ili awe tajiri?!! Click to expand... Naona kama unachanganya mafaili
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 Mar 13, 2023 #106 MzeeKipusa said: UPAKO Click to expand... Mwambie awe makini sahivi akitoa kafara ya kifala Kama ile ya Moshi ataliwa kichwa maana mteteze wake hayupo
MzeeKipusa said: UPAKO Click to expand... Mwambie awe makini sahivi akitoa kafara ya kifala Kama ile ya Moshi ataliwa kichwa maana mteteze wake hayupo
N nyanthorogo JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 244 Reaction score 454 Mar 13, 2023 #107 MzeeKipusa said: Naona kama unachanganya mafaili Click to expand... Poa. Ila nakushauri utumie pesa zako vizuri kwa manufaa yako na familia yako!
MzeeKipusa said: Naona kama unachanganya mafaili Click to expand... Poa. Ila nakushauri utumie pesa zako vizuri kwa manufaa yako na familia yako!
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #108 mjumbe wa bwana said: Mwambie awe makini sahivi akitoa kafara ya kifala Kama ile ya Moshi ataliwa kichwa maana mteteze wake hayupo View attachment 2549347 Click to expand... Usiache kujiungamanisha mida ya saa tatu usiku...atakua live tena....UKOMBOZI WA FAMILIA
mjumbe wa bwana said: Mwambie awe makini sahivi akitoa kafara ya kifala Kama ile ya Moshi ataliwa kichwa maana mteteze wake hayupo View attachment 2549347 Click to expand... Usiache kujiungamanisha mida ya saa tatu usiku...atakua live tena....UKOMBOZI WA FAMILIA
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #109 nyanthorogo said: Poa. Ila nakushauri utumie pesa zako vizuri kwa manufaa yako na familia yako! Click to expand... Life is a mystery
nyanthorogo said: Poa. Ila nakushauri utumie pesa zako vizuri kwa manufaa yako na familia yako! Click to expand... Life is a mystery
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #110 SHUHUDA
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #111 Dada apona festula iliyomtesa kwà muda wa miaka 15. Ccbrt walimwambia hana tatizo. Hospital kote mpaka kwà wanganga walishindwa.
Dada apona festula iliyomtesa kwà muda wa miaka 15. Ccbrt walimwambia hana tatizo. Hospital kote mpaka kwà wanganga walishindwa.
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 25,832 Reaction score 25,138 Mar 13, 2023 #112 Zombi Mweusi said: Nasubiri kuinua simu miamala iingie Click to expand... Iiingie kutoka wapi mkuu?
Kinumbo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 3,188 Reaction score 5,810 Mar 13, 2023 #113 Hivi ni kweli jamaa huwa anauza maji lile gari kubwa linaisha?
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #114 Kinumbo said: Hivi ni kweli jamaa huwa anauza maji lile gari kubwa linaisha? Click to expand... Watu ni wengi sana Ndugu,...ni zaidi ya unavyodhani
Kinumbo said: Hivi ni kweli jamaa huwa anauza maji lile gari kubwa linaisha? Click to expand... Watu ni wengi sana Ndugu,...ni zaidi ya unavyodhani
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Mar 13, 2023 #115 Kwanini mnafanya huduma ya kiroho iwe biashara?
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #116 uwe hodari said: Kwanini mnafanya huduma ya kiroho iwe biashara? Click to expand... Huo ni mtizamo wako
uwe hodari said: Kwanini mnafanya huduma ya kiroho iwe biashara? Click to expand... Huo ni mtizamo wako
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,935 Reaction score 102,690 Mar 13, 2023 #117 Tapeli kafunguliwa uzi
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Mar 13, 2023 #118 Kama unafahamiana na mwamposa mshauri aache kutumia mahangaiko ya watu kuvuna hata kidogo walichonacho Atumie Bible kuponya roho za watu na sio kuumiza MzeeKipusa said: Huo ni mtizamo wako Click to expand...
Kama unafahamiana na mwamposa mshauri aache kutumia mahangaiko ya watu kuvuna hata kidogo walichonacho Atumie Bible kuponya roho za watu na sio kuumiza MzeeKipusa said: Huo ni mtizamo wako Click to expand...
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,971 Mar 13, 2023 Thread starter #119 uwe hodari said: Kama unafahamiana na mwamposa mshauri aache kutumia mahangaiko ya watu kuvuna hata kidogo walichonacho Atumie Bible kuponya roho za watu na sio kuumiza Click to expand... Yeye Kazi yake ni kuiboost imani YAKO.....period! ACHA KULIA , ANZA KUAMINI
uwe hodari said: Kama unafahamiana na mwamposa mshauri aache kutumia mahangaiko ya watu kuvuna hata kidogo walichonacho Atumie Bible kuponya roho za watu na sio kuumiza Click to expand... Yeye Kazi yake ni kuiboost imani YAKO.....period! ACHA KULIA , ANZA KUAMINI