Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM katika harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM , katika hafla inayofanyika usiku huu
Mtumishi badala ya kuchangiwa anachangia huyu sasa wakisema hizi taasisi zilipe kodi atajitetea na nini?Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM
UwaziKwanini wanataja si wachangishe kwa siri pasina kutaja hivyo viasi.
🤣Mtumishi badala ya kuchangiwa anachangia huyu sasa wakisema hizi taasisi zilipe kodi atajitetea na nini?
Huo uwazi kwa sie wananchi?Uwazi
Mchango wake ni pamoja na kutoa wahamasishaji wa sadaka yao ya kujimaliza kwa ccm pamoja na kuwa kidumu kimotoboka!Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM katika harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM , katika hafla inayofanyika usiku huu
Nashindwa kujua, kachanga yeye binafsi au taasisi anayoiongoza!Mtumishi badala ya kuchangiwa anachangia huyu sasa wakisema hizi taasisi zilipe kodi atajitetea na nini?
Huyu anajaribu kutakatisha dhambi na uovu wa CCM.Mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa amechangia Milioni 50 kwenye kampeni za CCM katika harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM , katika hafla inayofanyika usiku huu
vipi umeumia mkuu 🤣Kwanini wanataja si wachangishe kwa siri pasina kutaja hivyo viasi.
Anasubiri idadi ikamilike ili uje na uzi wa ujumla 😂Lucas Mwashambwa yupo wapi? Hajabubujikwa na Machozi ya Furaha 😃
Wanaoabudu kwake ni wa kuhurumiwa.Huyu anajaribu kutakatisha dhambi na uovu wa CCM.