Mwampamba kawaangukie wana wa Mbozi

Mwampamba kawaangukie wana wa Mbozi

Hakuna cha kusamehewa huyo , itakuwa kazi kubwa sana kumnadi tena , maana vijana wa Mbozi hawamtaki kabisa , Si aliamua kuitema Big G kwa njugu za kuonjeshwa ! Dah ! Umasikini umemponza , kweli nimeamini umasikini ni janga la dunia !
 
Hakuacha kwa ajili ya chama!.. Alipangwa kagera na kuripoti kazini, akapokea mshiko kisha akasepa na hela za serikali. Kimsingi serikali ingekuwa makini hivi sasa angekuwa lupango au mafichoni!..

mkuu umeonekana kukiri kuwa jamaa aliacha kazi lakini ukabisha kuwa hakuacha kwa ajili ya chama, sasa aliacha kwa ajili gani?? Suala la kuondoka akiwa amelipwa pesa za kujikimu halitoshi kudhihirisha kuwa hakuacha kwa ajili ya chama
 
mkuu umeonekana kukiri kuwa jamaa aliacha kazi lakini ukabisha kuwa hakuacha kwa ajili ya chama, sasa aliacha kwa ajili gani?? Suala la kuondoka akiwa amelipwa pesa za kujikimu halitoshi kudhihirisha kuwa hakuacha kwa ajili ya chama

Mtela ni aina ya vijana wanaosoma ualimu si kwa lengo la kuwa mwalimu. Aliacha ualimu ili afanye shughuli nyingine, mpaka sasa hajafanikiwa, zaidi ya kutegemea ufadhili. Shule hata za private ni nyingi Dar, hataki. Siasa hata za jimbo lake siyo FULL time!. Zinahitaji uhamasishe na kuendelea na kazi. Hivi ndivyo wanavyofanya wana-CDM wengi wanaotafuta majimbo Mbeya, kama vile Peter Mwambuja, Rungwe magh; Godfrey Punte - Mbozi mashariki (kwa Mwampamba), Samson Mwaipyana-Kyela, Abel Mwangwa - Chunya (kwa Mulugo), Sotte - Mbeya vijijini, Lingson Kayange, - Ileje. n.k.
 
Baba yake zamani alikuwa mwanachama wa UMD, chama cha mzee Fundikira kwa sasa alisharudi CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom