Hawa vijana walikuwa wameandaliwa sana na CCM kumwangamiza Dr Slaa na CHADEMA. Angalia majibu yake kweye FB yake. Ila kwa kweli hakuna madhara yeyote CHADEMA itapata kutokana na wasaliti hawa zaidi tu itazidi kujiimarisha. RIP Mwampamba, Shonza et al
MAJIBU YA DR.SLAA DHIDI YA UBADHILIFU WA MILLIONI 140
"Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya"
... SWALI
Wewe Mzee hoja siyo kwamba umekopa na kurudisha, hoja hapa ni je kwa mujibu wa Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za Chama cha CHADEMA kuna utaratibu wa mwanachama au Kiongozi kukopo na kisha kurejesha? kama upo ni acha wanachama wa kawaida je ni Viongozi wangapi wameshawahi kukopesha na CHADEMA kisha wakarejesha? weka wazi hapa na siyo kulete hadithi za ni kweli nilikopa sasa nimerudisha hiyo siyo hoja. Hoja hapa umetumia Ibara ya ngapi ya Katiba ya CHADEMA kukopa? au umetumia Kanuni namba ngapi ya Kanuni za CHADEMA kukopa, au umetumia kipengele cha ngapi cha Taratibu au Miongozo ya CHADEMA kukopa?.
Lakini pili unaposemanimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwinginesikuelewi, hivi hakuna Taasisi za kukuwezesha wewe kukopa? Mbona Mwenyekiti wako Mbowe alikopa NSSF. Kuna Mabenki, kuna SACCOS n.k lakini hizo zote haziwezi kukukopesha ila umeona CHADEMA ndiyo inaweza kukukopesha eti?
Ni aibu kubwa sana kwa Kiongozi anayesema ni mtetezi wa kupiga ufusadi wewe ndo umekuwa mstari wa mbele kuchochea ufisadi. Ufisadi siyo kuiba pesa tu hata kuzitumia au kukopeshwa kinyume na Taratibu zozote hata kama umezirejesha.
NATAKA KUKUONA UNATOKA HADHARANI na kuwaambia wanachama wako kuwa umekiuka Katiba, Kanuni, Taratibu na Miongozo ya CHADEMA.Ninaposema CHADEMA ni NGO unaweza kusimama na kusema siyo hivyo? kama siyo NGO au SACCOS unawezaje kwenda kukopa kwenye Chama cha Siasa. Hivi kumbe CHADEMA ni CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASIA kwa maana ya kuweza kukopeshana?
Wanachama wa CHADEMA amkeni hizi ni zile kidogo zilizojulikana hiyo mijihela ya M4C waulize inakwenda wapi? Tazama na hii unayomtetea Mzinifu mwenzako Josephine"isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya" haya ni mambo ya Kitoto ambayo hayatakiwi kufanywa na Kiongozi wa ngazi ya juu kama wewe. kwa hiyo Katiba au Taratibu za Malipo za CHADEMA zinasemaje kwa mtu ambaye siyo Kiongozi wa chama lakini mume au mkewe ni Kiongozi wa Chama. Kama mtu huyo siyo Kiongozi eti kwa sababu ana mtoto na kwa kuwa anahudhuria kesi basi alipwe pesa na CHADEMA kwa kuwa mumewe ni Kiongozi ili aweze kuhudhuria kesi? HUU NI UPUUZI MWINGINE wa matumizi mabaya ya Fedha za Chama