Mwamfahamu mtu huyu...???

Usithubutu kupita karibu na mbuzi au sungura!
 
unamaanisha nn kuweka picha hy kama hutak ku2pia picha yako acha au dont post
 
sijui wewe tukuite mtu wa rangi gani? mix.............. au hizo ni makeups?
umependeza mwayego
 
Kwa wale wasionijua na wale ambao walikuwa na hamu ya kunifahamu huyu ndie Young Master orginal...wengine wote photocopy...!!! Mwenye swali au maoni anakaribishwa ila vigezo na masharti kuzingatiwa.


Huyu kamzidi hata Chesko matunda wa Afrika Sana! Huyu anatakiwa aitwe PAPA MAVEJI aka Mbogamboga🙂.

Picha yako yanifanaya niawaze afya njena (kwa kukula wewe Vegwallah) hasa katika huu uzee wangu=more geens will make you live longer;-).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…