RasJah JF-Expert Member Joined Nov 5, 2009 Posts 703 Reaction score 64 Mar 23, 2012 #1 Wakuu hivi yule mwandishi mashuhuri wa pass za kusafiria za miaka ile ya nyuma kabla ya hii technolojia ya kuandikia computer haijafungwa pale uhamiaji yuko wapi?? Nilikuwa napitia passport za wazee wangu hapa hizi hati zinavyofanana hadi nukta??
Wakuu hivi yule mwandishi mashuhuri wa pass za kusafiria za miaka ile ya nyuma kabla ya hii technolojia ya kuandikia computer haijafungwa pale uhamiaji yuko wapi?? Nilikuwa napitia passport za wazee wangu hapa hizi hati zinavyofanana hadi nukta??
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 23, 2012 #2 Dah kwenye Title nimeona Mwamdishi kumbe mwandishi...... Sina kitu hapa mkuu
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,412 Mar 23, 2012 #3 Hakuwa mmoja kama sikoei kulikuwa na kanda kwa hiyo ni zaidi ya mmoja.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Mar 23, 2012 #4 walikuwa wengi na mimi ni mmoja wao!
Kigarama JF-Expert Member Joined Apr 23, 2007 Posts 2,492 Reaction score 1,242 Mar 23, 2012 #5 Walifundishwa kuandika miandiko mizuri. Mimi namfahamu mmoja ambaye aliandika passport inayonihusu 1982!!
Walifundishwa kuandika miandiko mizuri. Mimi namfahamu mmoja ambaye aliandika passport inayonihusu 1982!!