Mwambieni yule dogo aliechezea simba kutembea na mke wangu, Stamina hold on pls

Kakwambia wew na mashine yako, na upake vumbi la congo bado kuna kuachwa na akaenda kwa mpaka poda.

Tuishi nao kwa akili,
So unatakiwa kuzisoma akili zake mwanamke uzijue ndio utaishi nae.
 
Kwani Stamina kuna kitu alibadilisha alivyooa?
watu wamembandua madam prezidaa na wakamrekodi itashindikana hapa kwetu? ukishakuta mlango uko wazi gonga sepa, tatizo letu tunataka kuwafurahisha wanawake mwanamke unatakiwa kuishi nae ki uhalisia yaan vile alivyokukuta ndio uishi nae hivyohivyo ukisema ubadilike kidogo tu lazma akushike mapum*u...Yaliyomkuta Stamina ama mwanaume mwingine yoyote yanaweza mkuta yoyote yule si jambo la ajabu kabisa, ni moja ya mapitio ya kimaisha wanawake sio ndugu zetu.
 
Maisha ya sasa yalivyo,wanaume wengi na hasa wa Dar,wameathirika sana na mtindo wa maisha kiasi kwamba wanakosa nguvu za kutosha kuridhisha wake zao.
Unaweza kudhani utani lakini tatizo hili ni kubwa sana.Huenda Stamina akiwa mmoja wao.

Sasa wakati unaimba wimbo huo na ndani wewe ndio unaonekana siyo mwanaume mashine unatarajia nini?

Bado Roma

Sent usin
"Achana na huyu mdigo asiyejua maana ya kupenda
Mama Ivan mwenyewe kamchoka anataka kwenda
Sina kicheche cha kando we kwangu ndo bao la ushindi mama
Mwanaume mipango mashine iachie mahindi bwana!!!
Hahahahahaaaaa
 
Kama hujawahi kuchubuka ukiwa unafanya mpenzi wako Basi jua ww sio lolote sio chochotee.....kuikamua ile kitu kisawasawa lazima mti uchubuke
 
Back
Top Bottom