Mwambieni Magufuli Tunahangaika sana Kujenga Nyumba za Ibada Asitubomolee Hovyo

Kuna yule mbabe aliyepelekwa porini miaka kadhaa akawa anashindia majani kama ngiri...! Mungu hadhihakiwi!! Beware. !!!
 
Mengine ongeza wewe. Mbona unataka kunipangia? Umeniudhi kwa kuileta bible kwenye ugomvi isipohusika.

Basi jipige vibao vya usoni ulie kabisa.. maana yake ndio hiyo.. kama imekuuma utajiju.. sio kutaka niandike nisiyoyajua.. unajua mengine andika kuna nafasi kubwaaaa humu ya herufi kuandikwaaaaa.
 
Umejuaje kwenye nyumba za ibada zao wanatumia bible? Acha ku generalise!
Kama ka-generalize ngoja mie niiweke sawa .... JE HUKO KWENYE NYUMBA ZENU ZA IBADA MWAZIFUATA SHERIA ZILIZOMO KATIKA VITABU VYENU VITAKATIFU?
 
kwa hiyo nani sasa amwambie ?!!..na unayemtuma akamwambie nani huyo?!!...kwa hiyo umetuoa mpk unafikia hatua ya kututuma?!!
 
Back
Top Bottom