Mwambie rais

Mwambie rais

Atayafanyia kazi?Au kama ile hadithi ya fisi alijambia jiwe?
 
Huenda una la kumwambia rais wako ushauri,dukuduku,pongezi, basi tujuzane yale tunayotamani kwa marais wetu,ni rahisi sana bonyeza
SEND TO PRESIDENT

toka mlipotwambia tutume maswali yetu kwenye kile kipindi cha tido muhando na mkashindwa kuyajibu sina hamu nanyi, kwanza haiitaji kutumia maswali ya kero za watanzania akae tu wiki nzima kwenye tv ataona kero zetu.

pili, hili sio jukwaa sahihi Invisible saidia huyu jamaa mahala husika.
 
Back
Top Bottom