Mwambie mbunge wako "umeibaka demokrasia,umeubaka ustaarabu,umeibaka haki na umeshiriki kwa kiasi kikubwa katika ubadhirifu wa mali za wananchi masikini kwa kugeuza bunge mahali pa mipasho , matusi , kejeli na mijadala ambayo haina tija"
Mwambie Mbunge wako "huna uwezo wa kujadili kushuka kwa kiwango cha elimu ,kwani hata wewe kiwango chako cha elimu ni kidogo licha ya kuwa na vyeti na ndo maana mnatukanana hadharani"
Mwambie tena " wananchi wamechoka kusikiliza matusi ,kejeli,ujinga na kebehi zenu "
Mwambie tena "unajua kuwa mtaani hali ni ngumu lakini kwa nini anakubali kulipwa ili watukanane "
Mwambie "Wananchi wamechoka sasa wanamshangaa,wakimaliza kushangaa sijui nini kitafuata"
Mwambie neno la mwisho "laana na iwe juu ya wote wenye dhamira mbaya na nchi hii"