Hakuna ubaya watu kutoa maoni yao!Ni vitu vya ajabu kila mtu akijiskia tu anaandika au kusema kuwa anashauri Rais afanye hiki au kile. Hii tabia ya ovyo kabisa. Rais ni taasisi ina watalaam wa kila eneo. Mbona Mbona Magufuli au Kikwete hapakuwa na hizi kelele?
Ifike mahali ujinga usijidhihirishe sana. Anajua kazi yake na ana team ya wataalam wa kila aina. Tufanye kazi kila mtu eneo lake shambani, ofisini, kiwandani au katika biashara, hiyo ndio namna ya kulisaidia taifa. Hasa kwa kulipa kodi.
Mwambe naye ni chumia tumbo tu hana lolote lile zaidi ya kuendeshwa na njaa tuWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa hapa na pale kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake. Ameeleza hayo leo Bungeni Dodoma
Amesema, "Anaifahamu kazi yake, alikuwepo kwenye kupanga mipango na yeye ni sehemu ya mipango hii tunayotekeleza kwa sasa. Mimi ningependa kushukuru kwa ushauri lakini tumuache Rais. Anafahamu wapi atafikisha Nchi yetu"
I would say, a country is not a personal property.Lazima tumshauri, nchi siyo kampuni binafsi ,lakini Rais kama taasisi asikurupuke kuufanyia kazi kila ushauri, maana hata humu tunaona wanaoshauri wengine hamna kitu 'a Country is not a Company'
Hakuna ubaya watu kutoa maoni yao!
Uhuru wa maoni ndo uhai wa demokrasia.
Lazima tumshauri, nchi siyo kampuni binafsi ,lakini Rais kama taasisi asikurupuke kuufanyia kazi kila ushauri, maana hata humu tunaona wanaoshauri wengine hamna kitu 'a Country is not a Company'
Kudadake haya maneno kipindi cha mwendazake usingethubutu nyooo.I would say, a country is not a personal property.
Onyesha ushahidi wa kutosha kuwa nilikuwa mfuasi wake...Jiwe alikuwa haamini hivyo!
Uliwezaje kuwa mfuasi wake kwa mtu aina hiyo?