Mwambalaswa naye pressure inapanda

Hawa watu wananitibua kweli; kama wameshindwa kufanya mambo ya maendeleo kwenye majimbo yao wanafikiri watachaguliwa kwa sababu wanalia lia na mafisadi? Nani aliwaambia kuwa wana hati miliki ya majimbo?
Swadakta mzee mwanakijiji,hawamuoni mwenzao Lowasa pamoja na kashfa zinazomwandama wananchi jimboni mwake huwaambii kitu kuhusu yeye,coz anajua kula nao,anawapa mwanga ili aopoe tena kura zao,sio wao full time Dar,alafu malalamiko lukuki!!
 
Mwambalaswa atavuna alichopanda, yeye alikuwa anashinda Dar wakati mwenzie Njelu alikuwa amejichimbia huko Mwambani!! Safari hii huyu bwana ni bye bye tu; angoje hiyo gratuity yake anywee bia Bamboo na wapambe wake.
 
JF haipo kuridhisha watu, kama unataka tuandike unachokipenda, utakuwa umekosea njia kuja JF.

Mwambalaswa hana lolote zaidi yua kuomba huruma ya wananchi. Naona hata kasalimu amri kwa mafisadi, akiombea apewe huruma.


Bambumbile humjui Mwambalaswa Kiitega Makwego. Wala hukusoma alivyosema kwa waandishi. Hajaomba huruma.Amesema mahela na yaende jimboni kwake na atawashinda. Nenda Chunya utajuwa hali ilivyo. Bamboo na Makuna ni karibu na mji wake. Lakini jimboni yuko fit. Fanya utafiti na Mwambani sio jimbo lake ni jimbo la Songwe. Mmezoea kutoa lawama za Chunya kwa Mwambalaswa tu, majimbo yapo mawili. Fanyeni utafiti msikurupuke. Tusubiri 2010 ndio itatoa majibu halisi ndio mtajua Mwambalaswa ni wa Lupa au bamboo au makuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom