Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Mwamba wenye imara,kwako nitajificha.
Maji hayo na damu yaliyotoka humu,
hunisafi na dhambi,hunifanya mshindi.*2
kwa kazi zote pia,sitimizi sheria,nijapo fanya bidii nikilia na kuzii hayaishi makosa ndiwe wa kuokoa.
Kwa kazi zote pia,sitimizi sheria,nijapo fanya bidii nikilia na kuzii hayaishi makosa ndiwe wa kuokoa..
Sina cha mkononi naja msalabani ni mtupu nivike,ni mnyonge nishike,mi mchafu naja nioshe mi sijafa.
Nikungojapo chini nakwenda kaburini,nipaapo mbinguni na kukuona enzini.roho yangu na iwe mahali pako wewe*2
IN LOVING MEMORY FOR ALLWHO HAVE LOST THEIR LOVED ONES