Mwamba wa Afrika, jemedari Rais Magufuli alipotutoa na anapotupeleka ...

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
M2p+20181104_080826.jpeg
Na Emmanuel J. Shilatu

Ni miaka 3 sasa tangu utawala wa Serikali ya awamu ya 5 unaoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli iingie madarakani. Ni vyema tufanye tathmini tuone Rais Magufuli alipotutoa na anapotupeleka Watanzania.

1. Rais Magufuli anatutoa kwenye usafiri wa treni wa enzi za kikoloni unaotumia muda mrefu njiani anatupeleka kwenye ujenzi wa usafiri wa treni wa kisasa kwa standard gauge unaotumia umeme na muda mchache njiani kusafirisha Watu wengi na mizigo mingi.

2. Anatutoa kwenye usafiri wa anga wa ndege uliokufa anatupeleka kwenye ufufuo wa shirika la ndege lenye ndege kwa kununua ndege mpya saba ikiwemo Dreamliner 787-8.

3. Ametutoa kwenye shirika la simu lililokufa ametupeleka kwenye ufufuo wa shirika la simu linaloleta ushindani mkubwa kwenye makampuni ya simu yaliyokuwapo kutokana na ubora wa huduma na wa gharama nafuu.

4. Ametutoa kwenye uchumi uliokuwa asilimia 5.1 hapo awali mpaka kutupeleka kwenye uchumi unaokuwa wa zaidi ya asilimia 7.2

5. Ametutoa kwenye mzigo wa kulipia elimu mpaka kutupeleka kwenye unafuu wa elimu bure kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.

6. Amewatoa akina Mama Wajawazito kwenye mateso ya kujifungulia sakafuni ametupeleka kwenye faraja kwa akina Mama Wajawazito kujifungulia vitandani. Mjamzito mmoja, kitanda kimoja.

7. Ametutoa kwenye mateso ya kulanguliwa dawa na ukosefu wa dawa kwenye hospitali za Serikali ametupeleka kwenye upatikanaji wa madawa mahospitalini uliofikia kiwango cha upatikanaji cha asilimia 89, tena kwa bei nafuu.

8. Ametutoa kwenye usumbufu na mateso kwa Wamachinga na Mama Ntilie kusumbuliwa na Wagambo mpaka kutupeleka kwenye utulivu na amani ya kutosumbuliwa kwa Wamachinga na Mama Ntilie.

9. Ametutoa kwenye mfumo wa kuleana na kuchekeana dhidi ya wabadhilifu na wala rushwa na kutupeleka kwenye mfumo wa uwajibikaji wa kupelekwa mahakamani kwa wala rushwa na Mafisadi. Leo hii Tanzania imepanda kwa nafasi kwa nafasi 13 katika mwaka 2016 na mwaka 2017 na pia ikishika nafasi ya pili kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

10. Ametutoa kwenye mateso ya Wanafunzi kukaa chini kwa kukosa madawati na kukosa maabara. Leo hii ametupeleka kwenye hatua ya ukamilifu wa uondoshaji wa tatizo la madawati nchi nzima na maabara kwa baadhi ya shule.

11. Anatutoa kwenye uondoshaji wa tatizo la foleni jijini Dar na kutupeleka kwenye ujenzi wa barabara za juu (flyovers) za Tazara na Ubungo. Flyover ya Tazara imeshaanza kutumika.

12. Amewatoa Wanazuoni wa chuo kikuu cha UDSM kwenye mateso ya kupanga na leo hii amewapeleka kwenye makazi bora ya mabweni ya kisasa wanayolipia gharama za chini kabisa.

13. Ametutoa kwenye balaa la utendaji na uwajibikaji wa hovyo kwa Watumishi wa umma na ametupeleka kwenye uimarishwaji wa kiwango cha kuridhisha cha uwajibikaji na uadilifu kwa Watumishi wa umma.

14. Ametutoa kwenye utitiri wa kodi kwenye kilimo na kutupeleka kwenye ufutwaji wa kodi mbalimbali za kilimo na kukifanya kuwa chenye tija kwa Wakulima. Leo hii bei ya korosho imepanda kutoka Tsh. 800 kwa kilo mpaka kufikia Tsh. 4000 kwa kilo.

15. Ametutoa kwenye usiri mkubwa wa mikataba na taarifa za madini na kutupeleka kwenye uwazi taarifa na mikataba ya madini. Leo hii tunajivunia mafanikio ya gawio sawia la faida za madini na Serikali ikimiliki asilimia 16 ya hisa katika makampuni ya uchimbaji wa madini.

16. Ametutoa kwenye tatizo zito na sugu la ajira na kutupeleka kwenye ongezeko la fursa za ajira kupitia kwenye viwanda zaidi ya 3000, kuwatimua wenye vyeti vyeki, miradi ya ujenzi ya bomba la mafuta, flyovers na reli ya kisasa ya standard gauge.

17. Ametutoa kwenye makusanyo ya Tsh. Bilioni 800 kwa mwezi mpaka kufikia kwenye makusanyo ya Tsh. Trilioni 1.3 kwa mwezi. Hali hiyo imeimarisha uwezo wa Serikali kibajeti.

18. Ametutoa kwenye urasimu na umangimeza kwa viongozi na kutupeleka kwenye uimarishwaji wa kiwango cha nidhamu, uwajibikaji na uadilifu kwa viongozi wa Serikali. Leo hii hakuna usumbufu kumuona kiongozi na viongozi wengi wapo site palipo shida za Wananchi wakizitatua.

19. Ametutoa kwenye mfumo wa walio nacho kujiona Mungu mtu na kuleta ukandamizi ndani ya jamii na kutupelekea kwenye uondoaji wa tabaka la uonevu kwenye masuala ya ardhi na sheria.

20. Ametutoa kwenye mkwamo wa Serikali kuhama Dar es Salaam na kutupeleka kwenye hamisho la Serikali kuhamia Dodoma. Mpaka sasa Waziri Mkuu, Wizara na idara mbalimbali zimehamia Dodoma. Tukumbuke mpango wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwepo na kushindikana kufanyika toka enzi za utawala wa Serikali ya awamu ya kwanza.

21. Rais Magufuli ametutoa kutoka Wanafunzi Wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu 98,000 hadi kufikia Wanafunzi Wanufaika 120,000 kwa sasa.

22. Rais Magufuli ametutoa kwenye makusanyo ya mapato ya madini kutoka Tsh. Bilioni 194 hadi kufikia mapato ya Tsh. Bilioni 301

23. Rais Magufuli ameyasimamia na kuyaimarisha vyema Mashirika ya umma. Kutokana na usimamizi imara mashirika 43 yametoa jumla ya gawio la TZS Bilioni 736.36 kwa Serikali. Kati ya hayo yapo ambayo hayajawahi kutoa gawio lolote lile tangu Uhuru.

24. Rais Magufuli na Serikali yake wamesimamia vyema vita dhidi ya rushwa na ufisadi na kupelekea jumla ya Tsh. Bilioni 127.9 kuokolewa kutokana na matendo ya rushwa.

25. Rais Magufuli amepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda kutibiwa nje ya nchi kutoka Wagonjwa 558 mwaka 2015 hadi kufikia rufaa za Wagonjwa 108 mwaka 2018. Hii yote imetokana na kuimarishwa kwa huduma ya matibabu ya kibingwa nchini kwa kuboresha miundombinu na kununua vifaa tiba vya kisasa.

26. Rais Magufuli ametutoa kwenye uwepo wa vituo afya vinavyofanya upasuaji toka 115 nchi nzima tangu tupate Uhuru hadi kufikia vituo vya afya 208 vyenye uwezo wa kufanya upasuaji.

*Shilatu E.J*
 
View attachment 920715Na Emmanuel J. Shilatu

Huyu mwanawani akiamua kutafuta mke mpya hivi sasa... kuna njemba zitakuwa zinashindana na wamama kugombea nafasi...
 
Wakala wa shetani...aongeze tu speed kuifikisha nchi huko kuzimu!
 
# 6 Tembelea hospitali nyingi mfano hospitali ya mkoa Mza, wodi wazazi kitandani zaidi ya mzazi mmoja aliyejifungua!

Lema aliwaambia maendeleo muhimu ni ya ustawi wa watu kwanza utu, haki na Katiba bora ni maridhiano kati mtawala na mtawaliwa.

Kibaya zaidi kuua democrasia ambayo ilimsaidia yeye pia kuingia madarakani, na kuua umoja na ustawi wa taifa letu. Ajifunze kidogo taifa dogo la Cape Verde.

Kubwa zuri ni nidhamu watumishi wa umma Hongera kwake.

Mradi mkakati umeme megawatt 2100
 
Chonde chonde mods huu Uzi msije tu mkauhamishia kwenye ule wa mafanikio ya serikali ya awamu ya tano
 
# 6 Tembelea hospitali nyingi mfano hospitali ya mkoa Mza, wodi wazazi kitandani zaidi ya mzazi mmoja aliyejifungua!

Lema aliwaambia maendeleo muhimu ni ya ustawi wa watu kwanza utu, haki na Katiba bora ni maridhiano kati mtawala na mtawaliwa.

Kibaya zaidi kuua democrasia ambayo ilimsaidia yeye pia kuingia madarakani, na kuua umoja na ustawi wa taifa letu. Ajifunze kidogo taifa dogo la Cape Verde.

Kubwa zuri ni nidhamu watumishi wa umma Hongera kwake.

Mradi mkakati umeme megawatt 2100
Magufuli ni Rais aliyepaswa kumfuatia Rais Mkapa tungekuwa mbali sana kama Taifa sasa atakeyefuata na hisi litakuwa chatu lenye njaa...ni shida nchi hii...watu wengi wanatafuta kula siyo kuhudumia wananchi.
 
mtoa post n mpumbav sana,tatizo cjajua umr wako na kiwango cha elimu yako,umeandka vtu ambavyo hata baba na mama yako hawavpat,kila siku kwene suala la kilimo wanaongelea korosho 2 kisa mwaka jana kulikuwa na bei nzr ya soko huko dunian lkn mbona hamtolei sifa mazao mengne? huko ruvuma saiz kunia la mahnd n kat ya 9000 na 15000/= hyo bei mbona hamuisemei kama kwel mnakiheshm kilimo.elimu ndo usiseme watoto n mambumbu haija wah tokea mbaya zaid ufaulu kwa shule za serikal unazd kushuka haija wah tokea,hosptaln madaktar siku hz wanachokifanya wakuandiki dawa ambayo wanajua haiko kwene dirisha la hapo hosptal kwan wanalinda vbarua vyao kukuandikia dawa ambayo unapaswa kwenda kununua maduka ya nje,ndge hata kama zingekuwa kum wananch wangap wanapanda hzo ndge? tren il asifiwe mpaka pale itakapo kuwa kwene reli sio kusifia vtu vya nadharia. watanzania 2nadanganywa sana ingawa kwa kias ambacho huwez msifia hvyo kafanya kama kuondoa wafanyakaz hewa lkn wafanyakaz halal bado wanamateso kazn zaid ya miaka mitatu
 
soma tena ulichoandika mkuu
 
Na Emmanuel J. Shilatu

Ni miaka 3 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;-

1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais Magufuli ya vita dhidi ya rushwa na ufisadi nchini. Leo hii Tanzania imepanda kwa nafasi 13 katika mwaka 2016 na 2017 na pia ikishika nafasi ya pili (2) kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

2. Serikali ya Rais Magufuli imefanikisha zoezi zima la Serikali kuhamia Dodoma. Ni vyema tukakumbuka zoezi la kuhamia Dodoma liliasisiwa na kushindwa kufanyika toka enzi ya utawala wa awamu ya kwanza wake Rais Mwalimu Nyerere lakini ndani ya kipindi kifupi cha miaka miwili tu Serikali ya Rais Magufuli imeweza kuuvunja mfupa huu mgumu.

3. Ujenzi wa Miundombinu ya kipekee na ya kisasa. Kupitia Serikali hii ya awamu ya 5 ya Rais Magufuli tumeshuhudia ujenzi wa flyovers na ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha standard gauge inayotumia umeme na inayokwenda kwa kasi. Haijawahi kutokea hii tangu Tanzania iumbwe.

4. Serikali ya awamu ya 5 ya Rais Magufuli hutumia Tsh.Bilioni 23 kutoa ELIMU BURE kuanzia elimu ya Msingi mpaka kidato cha nne. Mara ya mwisho Tanzania kushuhudia elimu ikitolewa bure ni katika utawala wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere.

5. Mafisadi Papa, Wala rushwa Papa wamepandishwa Mahakamani na wengine mpaka leo hii wanasota Magerezani mpaka kesho. Katika miaka ya nyuma ilikuwa suala gumu sana kwa Watuhumiwa “Mapapa” kuguswa tu, achilia mbali kupandishwa Mahakamani.

6. Tumeshuhudia akisimamia kwa vitendo kauli yake ya Tanzania ya viwanda. Tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya viwanda vikubwa na vidogo zaidi ya 3000 vimezinduliwa na vinafanya kazi. Uwepo wa idadi kubwa ya viwanda inasaidia sana kupunguza tatizo la ajira nchini.

7. Uwajibikaji na uadilifu kwa Watumishi wa umma umeongezeka na kuimarika vilivyo. Leo hii Mtumishi wa umma hana majivuno, kiburi wala dharau kwa wale anaowahudumia. Siku hizi watumishi wa umma wanawahi makazini, wanachapa kazi nyakati zote na wanazingatia ubora na umakini wa kazi.

8. Suala la matabaka ndani ya jamii linazidi kupungua kwa kasi tangu utawala wa awamu ya 5 uingie madarakani. Leo hii Watoto wa Maskini nao pia wanakwenda shule kupitia sera ya elimu bure; hakuna tena ubabe wa dhuruma Mahakamani, kwenye masuala ya ardhi; leo hii hakuna tena zile kauli kandamizi za “unanijua mimi nani” ama “Kijana kaa mbali, nitakupoteza”. Hakika Watu wanyonge Maskini nao pia wanafurahia maisha vilivyo, hakuna tena ubabe wala matabaka.

9. Serikali ya Rais Magufuli imeimarisha na kuzingatia suala la amani na uhuru wa kidemokrasia ndani ya nchi. Mathalani Machi 5, 2018 tumesikia Umoja wa Mataifa (UN) ukimpongeza Rais Dk. Magufuli kwa kudumisha amani na usalama ndani na nje ya Tanzania.

10. Kasi kubwa ya viongozi wa upinzani wakubwa kujiunga na CCM umekuwa mkubwa sana. Tumeshuhudia Madiwani, Wabunge na viongozi waandamizi wa upinzani wa upinzani wakijiunga na CCM ili kumuunga mkono Rais Magufuli kwa yale mambo mazuri ya kiutendaji anayoyafanya. Kujiunga kwa upinzani na dalili tosha ya Watu kulidhishwa na kiwango kikubwa cha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2015 – 2020.

11. Kufufuka kwa mashirika ya umma yaliyokuwa taabani. Tumeona shirika la ndege, reli na la simu yakipata uhai mara baada ya Dk. Magufuli kuingia Ikulu. Mathalani upande wa ndege jumla ya ndege 6 mpya zimeshanunuliwa, upande wa simu Serikali ya awamu ya 5 ilinunua hisa zote za shirika za simu na hivyo kuanza kuimiliki kwa asilimia mia na kuanza kuliboresha shirika.

12. Tumeshuhudia Serikali ikianzisha na kufanya miradi mikubwa na ya kihistoria ya kimaendeleo. Mathalani tumeshuhudia ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kwa kiwango cha Standard gauge; Mradi wa ujenzi wa umeme wa Stiegler's Gorge utakao kuwa chanzo kingine cha umeme na hivyo kupunguza tatizo la umeme nchini; Ujenzi wa flyovers za Tazara na Ubungo ambayo itasaidia kupunguza msongamano wa magari mkoani Dar es Salaam.

13. Kufutwa kwa kodi mbalimbali za kilimo, Serikali kusimamia masoko ya bidhaa za wakulima na hivyo kufanya kilimo kuwa na tija nchini. Wote ni mashuhuda kwa namna gani Wakulima wa Korosho nchini wanavyonufaika, ambao walikuwa wakiuza korosho kwa bei Tsh. 800 kwa kilo hapo awali lakini tangu Rais Magufuli aingie Ikulu bei ya korosho imepanda maradufu hadi kufikia bei ya Tsh. 4000 kwa kilo. Maboresho hayo yapo hadi kwenye mazao mengine.

14. Tumeshuhudia Serikali ya awamu ya 5 yake Dk. Magufuli ikipambana vilivyo na adui maradhi. Mathalani vifo vya Wajawazito vimepungua kwa wastani wa kitaifa wa 556/100,000; Idadi ya Wanawake wanaojifungulia vituoni imefika wastani wa kitaifa wa asilimia; Upatikanaji wa dawa muhimu ni kwa asilimia 89 n.k. Pia tumeona kaya nyingi zikijiunga na mfuko wa afya ya jamii.

15. Tumeshuhudia Serikali ikiweka uwazi kwenye mikataba na uchunguzi wa rasilimali za Taifa na kuweka makubaliano mapya yenye tija Mathalani tumeona uwazi wa sekta ya madini ya dhahabu, almas na Tanzanite ambapo Taifa tumeona namna ambavyo tulivyokuwa tukiibiwa na Serikali kuweka mikakati mipya ya kutokuibiwa tena. Kama haitoshi tumeshuhudia wawekezaji wakibanwa vilivyo juu ya mikataba isiyokuwa na tija kwa Taifa. Ni Serikali ya Rais Magufuli iliweka uthubutu wa kuwabana wawekezaji wa madini wa ACACIA iliyozaa matunda kwa Serikali ya Tanzania kumiliki asilimia 16 ya hisa katika makampuni ya uchimbaji wa madini, Serikali kupata gawio la faida ya madini ya asilimia 50 kwa 50. Yote haya yamewezekana kwa sababu ya uzalendo wake Rais Dk. Magufuli.

16. Serikali ya Rais Magufuli imefanikisha vilivyo kushirikiana na nchi ya Uganda kujenga Bomba la Mafuta linalotoka nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania. Ujenzi huo wa bomba la mafuta utazalisha ajira nchini na utaongeza pato la Taifa. Hayo yote yamefanikiwa kutokana na Serikali ya Rais Magufuli kuzidi kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyinginezo.

17. Ni Serikali ya Rais Magufuli imeweka jitihada za kupunguza utegemezi kwa kuamua kubinya mianya yote ya upotevu wa kodi na kuanzisha vyanzo vipya vya kodi. Leo hii makusanyo ya kodi ni zaidi ya Tsh. Trilioni 1.2 mpaka Tsh. Trilioni 1.5 kwa kila mwezi. Wakati Serikali ya awamu ya 5 inaingia madarakani makusanyo ya kodi yalikuwa Tsh. Bilioni 800 tu kwa kila mwezi.

18. Ukuaji wa uchumi umezidi kuongezeka kwa kasi kutoka asilimia 5.7 kwa mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 7.2 kwa mwaka 2017. Ukuaji huu wa kiuchumia unaifanya Tanzania kuwa nchi ya pili Barani Afrika kwa kasi ya ukuaji wa kiuchumi.

19. Rais Magufuli amevunja rekodi ya kuunda Serikali yake pasipo kujali itikadi, kabila, rangi, dini wala ukanda. Mathalani tumeshuhudia Rais Magufuli akiwateua Wapinzani kushika nafasi nyeti Serikali. Mfano alimteua Prof. Kitila Mkumbo wa ACT Wazalendo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, alimteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na pia alimteua Mwenyekiti wa TLP, Augustino Lyatonga Mrema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole. Hakika Rais Magufuli ameamua vilivyo kujitenga na dhambi ya ubaguzi na kuegemea nguzo ya umoja na upendo kwa Watanzania wote.

20. Ni Serikali ya Rais Magufuli imeamua kupunguza matumizi ya anasa na pesa zote kuzielekeza kwenye shughuli za kimaendeleo. Kwa kufuta safari za nje, vitafunwa, posho, semina na walsha zisizo na tija imepelekea Serikali kuokoa pesa nyingi zinazoelekezwa kwenye shughuli za kimaendeleo ikiwemo kufanikisha miradi mikubwa nchini.

21. Tumeshuhudia Rais Magufuli akifanya maamuzi magumu, ya haraka, sahihi na kwa wakati pindi Wananchi inapolalamika juu ya kukabiliwa na tatizo la kijamii. Ilishatokea kwenye hospitali ya Muhimbili pindi Mwanamama alipopaza sauti juu ya akina Mama wanaojifungua kulala chini, hapo hapo Rais Magufuli akaamuru zilizokuwa ofisi zibadilishwe na kuwa wodi, ikafanyika hivyo. Pia tusisahau Rais Dkt John Pombe Magufuli alivyowapa wakazi wa Bagamoyo, eneo la Magereza lenye ukubwa wa heka 65. Huyo ndio Dk. John Pombe Magufuli, mwenye maamuzi magumu, sahihi na kwa wakati.

22. Serikali ya Rais Magufuli imekuwa na desturi njema ya kulipa madeni ya ndani na ya nje. Mathalani tumesikia Serikali ikilipa madeni ya ndani ya Wakandarasi, watoa huduma, Waalimu n.k. Pia hivi karibuni Serikali kupitia kwa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema imetenga Tsh. Trilioni 1 kulipa deni la Taifa.

23. Serikali ikiacha umangi meza na kwenda palipo na Wananchi, palipo na shida za jamii. Si Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, wa Mkoa, Mawaziri ama Makatibu wakuu wote wapo field kuhakikisha wanaenda kuzitambua na kuzitatua shida za Wananchi. Mtindo wa viongozi kubaki baki ofisini zaidi kuliko kuwa site ulishakufa tangu Rais Dk. Magufuli alipoingia Ikulu.

24. Urasimu kuwaona Viongozi umepungua; Miaka ya nyuma kumuona Kiongozi wa Serikali ilikuwa kazi ngumu kuliko hata kuisaka sarafu baharini, huo ndio ukweli. Viongozi walio wengi walijiwekea ukuta kiasi Mwananchi wa kawaida kumvikia ilihitaji uvumilivu wa hali ya juu. Tangu Rais Magufuli aingie viongozi wenyewe wa Serikali wameweka mfumo mpya wa kiutendaji kwa kutenga siku maalum (siku 2 ama 3 kwa wiki) ambazo Mwananchi anaenda kumuona kiongozi moja kwa moja pasipo kupita kwa Katibu Muhtasari (Sekretari). Pia wapo baadhi ya Viongozi wakubwa wa Serikali wanatoa mpaka namba zao za simu za mikononi ama za wasaidizi wao ili Wananchi waweze kuwasilisha kero na matatizo yao moja kwa moja. Utaratibu huo umerahisisha matatizo ya Wananchi kuweza kufika kwenye mamlaka kwa wakati na kupatiwa ufumbuzi wa haraka.

25. Viongozi wamepewa meno zaidi; Tangu Rais Magufuli aingie madarakani tumeshuhudia Viongozi, mamlaka za kitaasisi zikipata meno zaidi ya kiutendaji tofauti na hapo awali kila kitu kuachiwa mamlaka ya Urais iamue, ulikuwa ni utegeaji wa hali ya juu. Mathalani leo hii tunashuhudia TAKUKURU ikipata meno zaidi ya kupambana na rushwa nchini hali iliyopelekea kesi za rushwa kuongezeka Mahakamani.

26. Kiwango cha nidhamu, uwajibikaji na uadilifu kwa Viongozi wa Serikali kimezidi kuongezeka. Tangu Rais Magufuli aingie madarakani yale mazoea yasiyo na tija ya viongozi kuzoea kazi hayapo, ule mtindo kiongozi akiharibu hapa anahamishiwa kule haupo, suala la kiongozi anafanya madudu na bado anabaki kwenye ofisi ya umma haupo tena. Kila Kiongozi ama kila Mtumishi wa umma yupo makini akichapa kazi vilivyo kwa nidhamu na uadilifu wa hali ya juu.

27. Ufuatiliaji wa utendaji, ufuatiliaji wa maagizo umekuwa wa hali ya juu. Tangu Rais Magufuli aingie Ikulu ameiambukiza sifa zake za uadilifu, uchapakazi, uzalendo na ufuatiliaji. Naam ufuatiliaji wa majukumu, maagizo, ripoti na tafiti zinazotolewa umekuwa wa hali ya juu. Pindi inapobainika madudu kufanyika ama jambo kutokufanyika kwa wakati Rais Magufuli hasiti kabisa kufukuza Mtu na baadhi yao kuishia mikononi mwa vyombo vya kisheria.

28. Utawala wa Sheria umezidi kuimarika. Rais Magufuli aliapa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi iliyo na sheria, taratibu na kanuni, amefanikiwa katika hilo. Leo hii tunazidi kuona mihimili ya dola inapofanya kazi kiukamilifu pasipo mwingiliano, kila mhimili upo huru; Leo hii tunaona Viongozi, Wanasiasa, Watumishi wa umma wakipandishwa kizimbani na wengine wanahukumiwa kifungo jela pindi wanapokutwa na makosa ya kisheria. Hakika, utawala wa kisheria unaoonyeshwa na Serikali ya awamu ya 5 yake Rais Magufuli ni nguzo ya utawala bora.

29. Heshima ya Tanzania kimataifa imezidi kukua zaidi; Hali ya Tanzania kusikika zaidi ilikuwa juu sana kipindi cha awamu ya kwanza kutokana na uwepo wa Mwalimu Nyerere ambapo hii leo Tanzania imezidi kupata sifa zaidi kutokana na uchapakazi wa Rais Magufuli. Nchi mbalimbali Duniania zimekuwa zikivutiwa na Rais Magufuli kutokana na namna anavyopambana na rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya pesa za umma, namna Serikali inavyobana matumizi na namna Rais Magufuli anavyoonyesha uzalendo wa kulinda rasilimali za Taifa zimnufaishe Mtanzania. Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayoifanya leo hii jina, hadhi na heshima ya Tanzania kuweza kupaa juu zaidi tangu Rais Magufuli aingie Ikulu.

30. Heshima ya Mwanamke imezidi kuimarika Serikalini na kwenye jamii. Dalili njema za Rais Magufuli kuweza kuheshimu nafasi ya Mwanamke ilianza kujitokeza pindi alipomteua Mama Samia Suluhu kuwa Mgombea mwenza wa Urais ambaye leo hii ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama Samia ni Mwanamke pekee aliyeshika nafasi ya juu kabisa kiungozi katika nchi za Afrika Mashariki. Hata mara baada ya kuingia Ikulu Rais Magufuli ameongeza imani kwa kuwateua Wanawake kwenye nafasi mbalimbali za kiuongozi Serikalini. Pia amewateua na kuwapandisha vyeo kwenye nafasi za vyombo vya dola na hata wengineo kuwateua kuwa Majaji. Imani aliyoonyesha Rais Magufuli kwa Wanawake ni ishara tosha ya heshima kubwa aliyowapa Wanawake nchini.

Ongeza haya.

31. Serikali ya raisi magufuri imeweza kununua wa bunge kadha na madiwani

32. Serikali ya raisi magufuri inajenga chato international air port na bandali ya chato

33.serikali ya magufuri imemrudisha Mo akiwa mzima

34. Serikali ya magufuri imeongeza kipato kwa wananchi masikini ila umasikini unaongezeka tu na biashara binafsi kufungwa.

35. Nk.
 
Back
Top Bottom