mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 158
- 187
Huko uliko mungu aendelee kukuweka,tulishindwa kukuelewa kipindi kile lkn kwa Sasa tungekuelewa vinzuri,endelea kupumzika kwa aman,kazi ulifanya.
Kwa kweliMpaka maji tuite mma
Mungu huyu jamaniMlilia watu flani sana mnapata radha halisi siyo. Vyuma si mlizema vimekaza, akaja mama kavilainisha ...hahahaha
Hatuko mbali tutajua nani wahusika waliotaka kumuua Lissu kwa risasi.Hili dude halikufaulu kwenye issue ya demokrasia mpaka likammiminia Antipas risasi kama njugu,ila kwenye ulinzi wa rasilimali za taifa jamaa tutalikumbuka sana
Makumbaf kama ww mpo wengiHili dude halikufaulu kwenye issue ya demokrasia mpaka likammiminia Antipas risasi kama njugu,ila kwenye ulinzi wa rasilimali za taifa jamaa tutalikumbuka sana
Kati yangu mm,ww na mamako nani tumbafu?Makumbaf kama ww mpo wengi
Mpaka maji tuite mma
Bibi yako na baba yakoKati yangu mm,ww na mamako nani tumbafu?
Hili dude halikufaulu kwenye issue ya demokrasia mpaka likammiminia Antipas risasi kama njugu,ila kwenye ulinzi wa rasilimali za taifa jamaa tutalikumbuka sana
Na mashoga km wewe mpo wengi mno..Makumbaf kama ww mpo wengi
Mimi Yoso ni shoga na kumbaf kabisa.
Kuna watu nawajua walikuwa bandari na TRA wenyewe waliacha kazi 😄
Huo mpela mpela
Ova
Mungu mwema siku zoteMwenyezi Mungu atuhurumie. Alete roho wake afanye kila kitu upya. Tumechoka. Tumekondeana.
Hawa waliotupotosha waende zao. Imetosha sasa. Tumeita maji mma na bado hatutoboi