Sawa blaza ngoja nimalizane na mteja kwanzaDah! Kaka hebu soma uzi tena

January ngumu sana hii wateja hakuna kabisaDah! Kwa hili night hatari sana

Brother trust me kuku wameadimika vilingeni, ukiona mganga anakula kuku kipindi hiki hiyo ni bakshish ya Dec au ni broilerNgumu mpaka kwenu dah!
