Mwamaume wa Ukweli Hutumia Dume!

Ni kweli hayo usemayo Iron Lady! Matangazo ya biashara ni fani kwa mfano hembu angalia na hili tangazo halafu nipeni jibu!
funny_condom_commercial1.jpg

hawa wengine wote wameelekezea mitutu yao mbela huyu kaficha nani hiiiiiiiiii sasa sijui walitaka kusema kuwa wanaume lazima wawe makini na nanii hiii zao zisijepatwa na tatizo wakati wa mapambano!
lakini pia dhana nzima ya vita inaweza kufananishwa na tendo la ndoa/ngono
 
Hapana naona hata wewe Iron Lady hujaelewa..

Hapo chini si unaona condom iliyofunguliwa(zana). Ula hao polisi unaona wote wamevaa zana za kazi lakini huyo jamaa mwingine yupo naked so ina maanisha jamaa yupo more vulnerable na mashambulizi ya adui.
So wakaandika "dont be stupid" yani unapokuwa vitani hakikisha unavaa zana na kujiandaa. Vivyo hivyo unapofanya ngono zembe lazima uvae condom.
 
Last edited by a moderator:
Hapana naona hata wewe Iron Lady hujaelewa..

Hapo chini si unaona condom iliyofunguliwa(zana). Ula hao polisi unaona wote wamevaa zana za kazi lakini huyo jamaa mwingine yupo naked so ina maanisha jamaa yupo more vulnerable na mashambulizi ya adui.
So wakaandika "dont be stupid" yani unapokuwa vitani hakikisha unavaa zana na kujiandaa. Vivyo hivyo unapofanya ngono zembe lazima uvae condom.[/QUOTE

kweli bwana
 
hawa wengine wote wameelekezea mitutu yao mbela huyu kaficha nani hiiiiiiiiii sasa sijui walitaka kusema kuwa wanaume lazima wawe makini na nanii hiii zao zisijepatwa na tatizo wakati wa mapambano!
lakini pia dhana nzima ya vita inaweza kufananishwa na tendo la ndoa/ngono

Don't be stupid......protect yourself

Don't be stupid....cover up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom