Mwalimu wanafunzi wote dugu moja

Hawa watakuwa wanafunzi watukutu na hapo naona hakuna somo hapo ni sawa sawa na mbuzi kumpigea gettaaa tu
 
Hapo somo ni rahisi sana, cku hizi watoto wanakomaa/komazwa kabla ya umri wao. Kuanzia maisha ya chumba kimoja ukuta pazia mpaka vigodoro na vibanda vya video.
 
Kazi ya ualimu ni ngumu mshahara kidogo kashifa kibao. Mie nafikiri kwa kashifa hizi that's why people decide to express their anger in a brutal way Yale Yale ya ufaransa
 
Hii shule inamilikiwa na ile timu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…