mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
Mwalimu wa USAFI kakuta darasa chafu akauliza
MWALIMU : zamu ya nani Leo?
WANAFUNZI : zamu ya MANFONGO.
MWALIMU : zamu ya nani Leo?
WANAFUNZI : zamu ya MANFONGO.
Cheka mkuuu uongeze cku za kuishi😱
Yaani ulichoandika inabidi nicheke tu
umeandika utumbooooo
[emoji23][emoji23][emoji23] yan wewe utumbo wako ndo umenichekesha mimi😱
Yaani ulichoandika inabidi nicheke tu
umeandika utumbooooo