Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Mimi ni mwalimu wa 'Physics' na 'Chemistry' (kwa sekondari), ninaweza pia kufundisha hisabati na sayansi kwa shule za msingi maana nimeshafundisha kwa miaka miwili), ninafanya kazi na kuishi Dar es salaam.
Ninatafuta shule ya sekondari, shule ya msingi au 'Tuition centre' ambayo ina 'program' ya kufundisha wanafunzi baada ya muda wa darasani kuanzia saa moja jioni mpaka saa nne usiku.
Kama kuna mtu ambaye anafahamu au ana shule, au 'tuition centre' ambayo ina hiyo program, na ana uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa, ninaomba tuwasiliane PM, email yangu ni julius.muema421@gmail.com.
Asante.