Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,084
- 6,087
Habar yenu wakuu? Mimi ni form 6 leaver nimesoma CBG natafuta nafasi ya kuwa mwalimu wa tempo katika shule yoyote kwa masomo tajwa hapo juu.kwa anaefahamu shule inayohitaji plz msaada anambie
jkt vp
Njoo muleba