Mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa akijiuza

Mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa akijiuza

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,662
Reaction score
9,975
maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.

Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya Kizuiani ambalo limesheheni madadapoa wa kila aina wakiwemo mabinti wadogo.

Chanzo hicho kilimwaga data kuwa, kuna mzee maarufu kwa jina la babu katika eneo hilo ambaye amekuwa akiwapa machangudoa hifadhi katika banda lake na kuwapa magodoro chakavu kwa malipo ya shilingi elfu moja kwa kila kichwa.

KISIKIE CHANZO
"Jamani kwenye danguro hili kila aina ya uchafu upo. Wanatukwaza sisi Wakristo ambao tupo katika kipindi hiki cha Kwaresma," kilitiririka chanzo hicho cha kuaminika maeneo hayo.

OFM KAZINI
Ili kujiridhisha na taarifa hizo, makamanda wawili wa OFM walitimba katika danguro hilo wakajifanya wateja ambapo walimchukua mmoja na kubaini kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi.

attachment.php
 

Attachments

  • 2.JPG
    2.JPG
    39.6 KB · Views: 1,405
inakuhusu nini. papuchi yake. kichochoro cha umma. ww mwema nenda kwa waif wako ila nakuhakikishi utaichoka ya waif na kwenda kuonja rythim mbadala
 
Kwahiyo nyinyi mnaona ni busara kujiuza?je angekua ni ndugu yako ungefurahia ajiuze? Mleta mada hujakosea big up to you,big up OFM!
 
Ila hawa wanaojiita OFM, iko siku wataingia choo cha kike tu.
 
Kwahiyo nyinyi mnaona ni busara kujiuza?je angekua ni ndugu yako ungefurahia ajiuze? Mleta mada hujakosea big up to you,big up OFM!
ijinga, upumbavu. kwanza ninyi ofm ndo mnaowanunua. mkifanya upuuzi wenu kwanini mnalipa hela?
 
ofm kama nyie ni wanaume kweli ingieni benk kuu,bandari,tra,reli polisi nk,haya mambo yenu ya kudhalilisha watu muache,kuna mtumishi wa mungu katika biblia alitumwa mji mmoja na akafikia kwa kahaba anayejiuza na utukufu wa mungu ukashuka katika nyumba ile baada ya kumficha mtu wa mungu asidhuriwe na mfalme wa ule mji,hakuna kazi isiyokuwa na mipaka.
ardhi kuna machafu kibao kama nyie kweli ni wafichua maovu anzieni kule
 

Ipo siku hawa OFM watakutana na vidume waliofiwa kondoo mabegani!!Watajuta.

Maovu yanayoliathiri taifa moja kwa moja hawayaoni?
 
...ongezeni picha za hilo nungayembe lisilo na adabu,likitoka hapo sijui litafundisha nini vitoto vyetu,na aaibishwe tu maana tumechoka na hawa BRN.....
 
Ila hawa wanaojiita OFM, iko siku wataingia choo cha kike tu.


Halafu huwa najiuliza, hicho kikosi kimeanzishwa kwa mujibu wa sheria ipi? au ni mtu tu kaamua kutafuta umaarufu, je wao wakifuatiliwa nyendo za ni kweli wapo safi?
 
Acheni kuingilia watu mambo yao watu wanatafuta riziki mnawachora kimasoro na camera zenu' Alafu nyie ipo siku yenu huo ujinga wa kuwamulika watu na camera na kuwaleta mitandaoni kuna siku mtakojoa Dagaa
 
Kama Nikweli Mmh Umalaya Kwa Mtoto Wakike Upo Kwenye Damu Can You Imagen Mshara Anapewa Ndio Kibuz Chakumchuna Ukute Anaye Sasa Anapoenda Apa Zakiem Sijui Anapata Bei Gani Akat Ni Buku 2 Wanauza Sasa Ina Msaidiaje Wengne Sio Shida Ni Huluka YAmtu Kupenda Kuliwa Ndo K Zinakua Ziki Washa Kilasa Zinataka Rungu Ziwakune Aibu ,
 
...ongezeni picha za hilo nungayembe lisilo na adabu,likitoka hapo sijui litafundisha nini vitoto vyetu,na aaibishwe tu maana tumechoka na hawa brn.....

we umemuona wapi huyo mwalimu?

Anafundisha shule gani?
 
Ila hawa jamaa cwaelewi wanaacha kufichua mafisadi watu wanao kwepa kulipa kodi watu wanao pokea na kutoa rushwa wanaenda kufichua ujinga halafu wanajicfu kwel hii ndio bongo
 
Mwanafunzi angemuopoa..mbona angefaulishwa adi afurahi na roho yake
 
Back
Top Bottom