Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

Unamaanisha mwalimu wa sayansi mwenye diploma kama wewe sio?
 
Ni kutokana na sehem mfano ninapofanya kaz mwenye diploma ya eng anaanza kulipwa 960k na allowance ya nyumba, chakula na usafir

Basi kuna sehemu nyingine mwalimu mwenye degree analipwa 1.5M

Ukilinganisha vitu nadhani utumie criteria ambayo ni common,huwezi kuwalinganisha mmoja akiwa private mwingine government
 
Basi kuna sehemu nyingine mwalimu mwenye degree analipwa 1.5M

Ukilinganisha vitu nadhani utumie criteria ambayo ni common,huwezi kuwalinganisha mmoja akiwa private mwingine government
Kwan me nimekwambia private government jaribu kuulizia sehem kama tanesco mtu mwenye diploma ya engineering analipwa sh ngap au na tanesco ni private?
 
Kwan me nimekwambia private government jaribu kuulizia sehem kama tanesco mtu mwenye diploma ya engineering analipwa sh ngap au na tanesco ni private?

Hilo ni shirika la umma.Hata walimu wa kwenye mashirika hawalingani na waliopo serikali kuu
 
Mwalim mwenye bacherol hamfikii mtu mwenye diploma ya engineering
Uongo wako peleka vijijini huko..mm nina wanangu kibao wana hizo diploma wqko halmashauri ukiondoa vdeal vya hapa na pale..wanalia njaa vbaya na mishahara isiyofka nusu milioni kwa mwezi...labda km private sector bt mwalm wa sayansi degree shule km jtegemee wanalamba mpka 1.5..
 
Hapa kuna kitu wengi wetu hatukielew wakuu

Scale za mishahara ya serikali hazipishan san kwa level zote za elimu, ila kinachokuja kumtofautisha Mwalimu na engineer ni 'allowance' kwa mfano Mwalimu hana allowace yoyote zaidi ya mshahara ila engineer hata kama ni diploma anapata alowance tatu 1. Nyumba ambayo ni kama 150,000 kwa mwez 2. Chakula kama 320,000 kwa mwez na usafiri ambayo si chini ya 100,000 kwa mwezi na Mshahara wa Mtu wa diploma kwa mwezi ni 450,000 kama haijapanda. Mwenye kujua zaidi anaweza kunirekebisha. Nadhan tunaweza anzia hapa kulinganisha
 
Uongo gani

Kwani private sio sehemu?Nisome tena unielewe usikurupuke
 
Basi kuna sehemu nyingine mwalimu mwenye degree analipwa 1.5M

Ukilinganisha vitu nadhani utumie criteria ambayo ni common,huwezi kuwalinganisha mmoja akiwa private mwingine government
Mkuu posho ya engineer inaweza kumlipa mshahara wake huo wa 1.5m kila mwezi.
achana na malupulupu mengine maana hata kama ameajiliwa lakini miradi inakuwa chini yake na ndio kwenye pesa.
 
Sorry nimekosea kuquote
 
kama ameajiriwa basi hana tofauti na mwalimu lakini kama ni kampuni yake mwenyewe ndo inachukuwa tenda basi atakuwa amepga bao mwalimu
Weeee hata kama kaajiriwa hebu nitajie Engineer yoyote anayelipwa chini ya million nchi hii? Halafu nitajie mwalimu mmoja tu wa shule ya serkali anayelipwa million ukishindwa bora ukae kimya!
 
Jaman achen kufananisha engineer na mwalim. Engineer yupo juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…