Engineer hata mshahara wake ni mkubwa kuliko mwalim wa sayans maana mwalim mshahara anaanza na TGS D lkn engineer anaanza na TGS E. Afu engineer ana posho nying lkn mwalim izo posho atakutana nazo labda wakat wa mitihan ya kitaifa mimi nina diploma ya mechanical engineer lkn mwalim wa sayans hanigus kwa mshahara wala kwa posho mpaka rafiki angu mwalim mwaka huu kaaply kusoma engineering abadilishe field