Mwalimu wa ms office 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa ms office 2010

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Omugurusi, Sep 19, 2012.

 1. O

  Omugurusi Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namtafuta mtu anayeweza kufundisha MS Office kuanzia Basic hadi Expert Level.Awe na uwezo wa kujieleza vizuri kwa lugha ya Kiingereza. Wasiliana nami kwa email kilibata@iit-tz.com
   
 2. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Me najua kutumia ms office 2010 kusoma ms office long time(2002-2003), lakini nipo vizuri kwani nimeshawahi kufundisha programme hii ktk shule moja hapa bongo
   
 3. Planner

  Planner JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  location yako wapi mkuu.upate huduma?
   
Loading...