N naaman Member Joined Jan 13, 2014 Posts 14 Reaction score 0 May 25, 2014 #1 Mimi ni mwalimu wa somo la mathematics kuanzia darasa la tatu mpaka kidato cha nne kwa wanaohiji kufundishwa nymbani au supplimentary. Natoa hiyo huduma kwa kiasi cha sh 10000 kwa saa. Piga simu kwa mawasiano zaidi 0712016626
Mimi ni mwalimu wa somo la mathematics kuanzia darasa la tatu mpaka kidato cha nne kwa wanaohiji kufundishwa nymbani au supplimentary. Natoa hiyo huduma kwa kiasi cha sh 10000 kwa saa. Piga simu kwa mawasiano zaidi 0712016626
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,142 Reaction score 7,402 May 25, 2014 #2 Makubwa..una elimu gani?
nyamwihula New Member Joined Apr 12, 2014 Posts 2 Reaction score 1 May 25, 2014 #3 mmmh jamani wenye shida iyo fursa iyo
E Evz JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 674 Reaction score 130 May 25, 2014 #4 elf kumi kwa saa? He? Inamaana ukifundisha masaa matat unachukua30? Nikiwa na watoto wawili kila siku 60?. Ntafundisha mwenyewe
elf kumi kwa saa? He? Inamaana ukifundisha masaa matat unachukua30? Nikiwa na watoto wawili kila siku 60?. Ntafundisha mwenyewe