Mwalimu wa mathematics na physics

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,278
7,914
Habari waungwa
Nina ndugu yangu kamaliza diploma ya ualim kwenye masomo ya mathematics na physics ana tafuta kazi ya kufundisha masomo hayo tajwa hapo .
Waweza wasiliana nae kupitia namba hii
0783044090

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom