Mwalimu wa Math,Physics na Chemistry anahitajika haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa Math,Physics na Chemistry anahitajika haraka.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Landala, Nov 22, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana jf,kituo cha elimu cha M & S kilichopo Chang'ombe maduka mawili jijini Dar es salaam kinahitaji mwalimu wa sekondari wa masomo ya sayansi yaani mathematics,physics na chemistry kwa ajili ya tuition kipindi hiki cha likizo.Kwa mwenye sifa na anahitaji awasiliane nasi kwa namba 0715 258585.
   
Loading...