Mwalimu wa Literature & Linguistics (English )

Kuna nafasi zilitangazwa gazeti la Daily News la tarehe 12,shule ya Heritage ya Kibaha wametangaza nafasi za kazi kwa walimu,jaribu kulitafuta hilo gazeti utaziona
 
Habari wadau, nimehitimu chuo kikuu na kupata Bachelor's Degree of Arts with Education huku nikijikita katika masomo ya Literature and English .
Naomba kama kuna mtu anaweza nipatia ajira au anaweza nisaidia kupata ajira ya kufundisha nasomo hayo awasiliane nami kwa:-
e-mail richardmimi24@gmail.com or aje PM kwa mawasiliano ya simu .Asante
Anzisha British council yako tutakuja kukuungisha mkuu!
 
Back
Top Bottom