Mwalimu wa literature/english & kiswahili

mtunia

Member
Jan 2, 2017
27
10
Habari!
Naitwa mwalimu Mtunia S.M nimemaliza chuo mwaka jana bachelor of education hivyo natafuta kazi ya kufundisha secondary O- level au A-level mahali popote.
Contact; 0718230330
Aksanteni.
 
Habari!
Naitwa mwalim Mtunia S.M nmemaliza chuo mwaka jana hivyo natafuta kazi ya kufundisha secondary O- level au A-level mahali popote.
Contact; 0718230330
Aksanteni.
Nna degree ya education
 
Kikubwa ueleweee!!! Mskae kuangalia nan kakosea wp
Kukosolewa ni Lazima ili kufika tunakopataka.Ungekubali ulichoambiwa ili usikosee wakati mwingine.

Pengine aliyekusahihisha ndiye Mwajiri wako.

All the best Mwalimu.
 
Kukosolewa ni Lazima ili kufika tunakopataka.Ungekubali ulichoambiwa ili usikosee wakati mwingine.

Pengine aliyekusahihisha ndiye Mwajiri wako.

All the best Mwalimu.
Kweli Daaah! Ila me cjaona nlipokosea nmesema degree ya education

Sasa kuna tofaut gan na mtu akisema bachelor of education?
 
Kweli Daaah! Ila me cjaona nlipokosea nmesema degree ya education

Sasa kuna tofaut gan na mtu akisema bachelor of education?
Mkuu acha kiburi weka bandiko lako vizuri useme pia unafundisha masomo gani? Taja na uzoefu wako pia kama upo? Haina gharama yeyote kufanya hivyo.
 
Kweli Daaah! Ila me cjaona nlipokosea nmesema degree ya education

Sasa kuna tofaut gan na mtu akisema bachelor of education?
Mwalimu acha tafsiri za kiswahili, alafu acha ubishi wakati umekosolewa.

Hakuna degree of education. Kuna Bachelor of Arts with Education na Bachelor of Arts in Education.

NB: Jibu ni kutokana na masomo ilionesha hapo ktk ombi lako la kazi.
 
Back
Top Bottom