Digitali
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 424
- 91
Never in my life had i imagined academic standards were this low. UDSM mpo?
Academic std? What is that? How do you measure academic std?
Never in my life had i imagined academic standards were this low. UDSM mpo?
kamuulize mwalimu wako aliyekufundisha kiswahili.Akishindwa mje ni wafundishe.hilo neno la kwanza (ulifikiri) unamaanisha nini!?
yaani huyu jamaa sijui kasoma chuo gani au labda ndo wale wa Q-T elimu ya kudandadanda mpaka kamaliza form 6?
we ni moja wapo ya watu wanao amini kuwa " ukubwa wa pua ndo wingi wa makamasi'practice make perfect and not theory make perfect.Kuimudu lugha fulani (yeyote Ile) nikigezo kimojawapo cha kutambua ukubwa wa ufahamu . Sasa ndugu yetu unataka kufundisha kimombo ambacho wewe mwenyewe huwezi kukimudu,hili basi tatizo . Kuwa makini na uandishi wako,jaribu kutamka unachokiandika.