Mwalimu wa kujitolea anatafuta kazi

Mwalimu wa kujitolea anatafuta kazi

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Wakuu habari!

Wiki ijayo shule zinaenda kufunguliwa kwa hali ilivyokuwa shule nyingi za binafsi hali ya kiuchumi haitokuwa nzuri sana.

Hivyo basi nipo hapa mwalimu wa kujitolea katika masomo ya English na history upande wa secondary, pia medium naweza fundisha social studies, geography, na science.

Kama kutakuwa na shule yeyote inayoitaji mwalimu wa masomo tajwa hapo huu nipo tayari kwenda popote pale kufanya kazi hiyo.

Elimu yangu ni shahada ya masomo ya Sanaa kutoka tahasisi kubwa sana hapa Tanzania, nilimaliza 2018.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja katika ufundishaji.
 
Mkuu mbna wewe ni wakusema sawa sawa
Kila Ajira Zinapoletwa Hapa Nafanya Mchakato Wa Hesabu Kulinganisha Na Serikali Iliyopo Madarakani
Ilivyosema Inamwaga Ajira Tele

Watu Wafanye Mpango Waombe
Maendeleo Hayana Chama
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
 
Sawa sawa mkuu
Kila Ajira Zinapoletwa Hapa Nafanya Mchakato Wa Hesabu Kulinganisha Na Serikali Iliyopo Madarakani
Ilivyosema Inamwaga Ajira Tele

Watu Wafanye Mpango Waombe
Maendeleo Hayana Chama
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
 
Back
Top Bottom