Mwalimu wa kufundisha masomo ya ziada anaihitajika Morogoro mjini

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,243
1,185
Je, wewe ni mwalimu wenye bachelor?
Je, unaishi Morogoro mjini?
Unaweza kufundisha masomo ya ziada majumbani?
Ipo program hyo chini ya Home-Teaching Teachers' Association iliyopo hapa morogoro mjini!
Kama uko interested unaweza kupiga simu no 0693-208209 au unaweza kuja mwenyewe,
Eneo ni 88(Tubuyu)
*Life is the way you see it*
 
Mm sijakuelewa kufundisha majumbani vipi??

Naomba uje pm plz mm Nina degree moja
 
Back
Top Bottom