Nipo hapa nichek pm au call 0674473835Habari wakuu!
Namtafuta mtu mweye uwezo wa kufundisha kiswahili kwa watu ambao kiswahili ni lugha ya kigeni.
Muhimu
Awe na ujuzi wa kufundisha
Awe na ujuzi wa kuongea kingereza
Awe na uwezo wa kuongea mbele ya kamera (Asiwe "Camera shy")
*Nicheki PM
Mkuu nipo hapa mwalimu mbobezi kabisa wa lugha ya kiswahili kwa wageni, nimethibitishwa na kutambuliwa rasmi naa baraza la kiswahili TanzaniaHabari wakuu!
Namtafuta mtu mweye uwezo wa kufundisha kiswahili kwa watu ambao kiswahili ni lugha ya kigeni.
Muhimu
Awe na ujuzi wa kufundisha
Awe na ujuzi wa kuongea kingereza
Awe na uwezo wa kuongea mbele ya kamera (Asiwe "Camera shy")
*Nicheki PM
Nipo hapa,Habari wakuu!

Mbona unaficha jina lako?
Hili swali haliwezi ulizwa na mtu mzimaMbona unaficha jina lako?
Unaogopa watu wasiojulikana!!?
Sawa mtafuta Kazi.
Kaonyeshe weredi watu hawaitaji vyeti baba wewe unambiwa njoo DM wewe unapost vyeti ushafeli usahili hatukuitaji😀😀
Jina ni mali yangu, halitakiw kujulikana na kila mtuMbona unaficha jina lako?
Unaogopa watu wasiojulikana!!?