Sasa mbona hujaweka mawasiliano mkuu.Awe mkatoliki awe na uwezo mkubwa wa na kujiamini shule ipo iringa atakyejitokeza awah mm nimeambiwa na mtu
Mimi natafuta wa kiume wa Mathematics.Sasa mbona hujaweka mawasiliano mkuu.
Hao walimu wapo wengi tu mtaani weka mawasiliano tuwape namba yako
Sasa mtu ambaye hayuko JF atawekaje hiyo CV pm?Mimi natafuta wa kiume wa Mathematics.
mawasiliano mwambie aweke CV yake PM kwangu hapa then ntamtafuta
Atajuaje kama natafuta na hayupo JF??Sasa mtu ambaye hayuko JF atawekaje hiyo CV pm?
Mkuu shule iko wapi ?? hebu tujulishe kwanza kabla ya kuja PMAtajuaje kama natafuta na hayupo JF??
Zanzibar.Mkuu shule iko wapi ?? hebu tujulishe kwanza kabla ya kuja PM
Umekaa ki-CIA weka link basiZanzibar.
Kuna uzi nimefungua Leo huko kautafute
OKZanzibar.
Kuna uzi nimefungua Leo huko kautafute
😀😀😀😀😀😀😀😀Umekaa ki-CIA weka link basi