Mwalimu wa ICT shule za msingi na Secondary au High school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa ICT shule za msingi na Secondary au High school

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tody's vision, Nov 9, 2011.

 1. T

  Tody's vision Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa yeyote yule anayehitaji walimu wa kufundisha masomo ya ICT na kusimamia mifumo ya mawasiliano ktk shule yake au kutengeneza mifumo hiyo na ushauri juu ya kuwa na mifumo ya mawasiliano katika shule yako tafadhali waasiliana nami kupitia TanzaniaCreativeDesign@gmail.com Gharama zetu ni nafuu zaidi na tunatoa kipindi cha majaribio kisichopungua miezi mitatu na kisichozidi miezi sita kulingana na huduma unayohitaji na aina ya mkataba unaotaka kuingia nasi. Malipo ya walimu ni juu yetu.
   
Loading...