Mwalimu wa Geography na English anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa Geography na English anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Msafiri Kasian, Jun 12, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wapendwa wana JF,kama kuna mwalimu(wa kiume) mwenye angalau Diploma ya Elimu katika masomo ya English na Geography,na kama anahitaji nafasi ya kufundisha ktk shule ya binafsi(inaitwa St.Ritaliza Sec School-ipo Moshi mpakani,ni ya masista wa St.Joseph wa Mombasa) afike shuleni mara moja. Ni shule ya mchanganyiko,ndio ina form 1 wa kwanza mwaka huu.Awe na uzoefu wa angalau mwaka mmoja,kwa maelezo zaidi unaweza kuniuliza hapa,au ukaniPM au nipigie simu 0784369298.
   
 2. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Y jinsia me na co ke? Mshahara sh ngap?
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Gender balance Anita baby,kuna waalimu wa kike ambao idadi yao imezidi idadi ya waalimu wa kiume. Sasa Anita baby wewe si wa kike,mshahara unauliza wa nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Tafadhali,yule aliyenipigia simu kama yupo online aniPM kwa yale anayotaka kufahamu zaidi.
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2013
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Shule yenyewe nzuri? Iko katika mazingira mazuri?
   
 6. w

  wamwala Senior Member

  #6
  Mar 10, 2013
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya baba tumekusikia, kuna wale wa leseni vipi wanapokeewa?
   
 7. M

  MZEE SERENGETI JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2013
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ndio kusema wakike hawatakiwi kabisa
   
 8. M

  Maze Member

  #8
  Mar 12, 2013
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Nina Diploma masomo geography na mathematics. Uzoefu wa zaidi ya miaka mitano 5. Naweza pata nafasi?
   
 9. M

  Maze Member

  #9
  Mar 12, 2013
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Nina Diploma masomo geography na mathematics. Uzoefu wa zaidi ya miaka mitano 5. Naweza pata nafasi?
   
Loading...