Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,719
- 1,684
Kheri ya mwaka mpya wakuu! Mungu atujalie kila mmoja wetu kutimiza malengo aliyojipangia kwa huu mwaka mpya wa 2017.
Bila kupoteza muda napenda mnisaidie nahitaji ajira ya kufundisha shule za sekondari (O-LEVEL/ A-LEVEL). Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo ya PHYSICS na MATHS (fizikia na hesabu) kwa taaluma.
Nipo tayari kufunga mkataba hata wa miaka mitano kama maslahi yanalipa kwani baada ya hapo nitajiunga na postgraduate studies. Ufaulu wangu ni mzuri (sana) tangu O-LEVEL hadi chuoni. Natanguliza shukrani na amani iwe nanyi. Amen!
Contact me via PM