Mwalimu wa fizikia na hesabu, natafuta kazi

Sosthenes Maendeleo

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,646
1,486
Kheri ya mwaka mpya wakuu! Mungu atujalie kila mmoja wetu kutimiza malengo aliyojipangia kwa huu mwaka mpya wa 2017.

Bila kupoteza muda napenda mnisaidie nahitaji ajira ya kufundisha shule za sekondari (O-LEVEL/ A-LEVEL). Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo ya PHYSICS na MATHS (fizikia na hesabu) kwa taaluma.

Nipo tayari kufunga mkataba hata wa miaka mitano kama maslahi yanalipa kwani baada ya hapo nitajiunga na postgraduate studies. Ufaulu wangu ni mzuri (sana) tangu O-LEVEL hadi chuoni. Natanguliza shukrani na amani iwe nanyi. Amen!
Contact me via PM
 
Screenshot_2017-01-02-18-26-34.png
 
Contact: 0628044355

Fuatilia huu uzi

News Alert: - Ajira za walimu ni sasa
 
jiandae kutafuta hela ya kujikimu kwani serikali haitahusika kuwa safirisha walimu wapya ,nafikiri utakwepo kwenye ajira mpya itakayotangazwa kwa walimu wasayansi hivi karibuni kama una vyeti sahihi siyo vya kuungaunga
 
Poa mkuu yote heri. Vyeti vyangu si vya kugushi na ukweli uwezo ninao haswa mkuu wa kufundisha
 
jiandae kutafuta hela ya kujikimu kwani serikali haitahusika kuwa safirisha walimu wapya ,nafikiri utakwepo kwenye ajira mpya itakayotangazwa kwa walimu wasayansi hivi karibuni kama una vyeti sahihi siyo vya kuungaunga
hivi karibuni ndo nini
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom