Mwalimu wa computer anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa computer anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kaygeezo, Feb 3, 2012.

 1. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MWALIMU WA KUFUNDISHA BASIC COMPUTER APPLICATIONS MS OFFICE(WORD,EXCEL,POWER POINT,MS ACCESS),BASIC COMPUTER USAGE
  SHULE(KA CHUO KADOGO) KAPO TABATA KISUKURU - MAKONDE
  DARASA NI LA WATU KAMA 20
  HATUHITAJI MTAALAMU SANAANA...MUHIMU AWEZE KUHAMISHIA WATU UJUZI WAKE
  MAMBO MENGINE MAJADILIANO
  NIPIGIE/SMS 0713123683
  CV yako itume kaygeezo@yahoo.com
   
 2. Lazarus

  Lazarus JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  sawasawa jirani kaygeezo, nipo tayari sasa no. hi hapa 0716880022, je kuna computer ngapi? je zina internet access? kama hamna siyo tatizo ila mapatano kwa mwezi yanafika Tsh ngapi..?? naomba unijibu ukiipata hii msg:A S 101::A S 39:
   
Loading...