Kijana matata
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 603
- 307
Habari wakuu, kichwa cha habari juu chajieleza, mwalimu wa commerce anahitajika
Kama wewe ni mwalimu wa hilo somo njoo pm nikupe mchongo fasta. Pia zingatia, uwe unaishi maeneo ya yombo dovya au Tandika au ata Temeke.
Maelezo mengine nitakupatia ukija pm.
Asanteni!! Mubarikiwe wote.