Habari ndugu zangu, mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu, nina shahada ya elimu ya masomo ya biolojia na chemia. Natafuta kazi ya kufundisha kuanzia ordinary level na advanced level, nina uwezo wa kufundisha na kumanage darasa vizuri. napatikana dar es salaam kwa sasa.
Kwa yeyote anaefahamu wapi naeza kupata kazi please naomba uni pm, hata mwenye ushauri unakaribishwa.
Natanguliza shukurani zangu.
Kwa yeyote anaefahamu wapi naeza kupata kazi please naomba uni pm, hata mwenye ushauri unakaribishwa.
Natanguliza shukurani zangu.