[h=6]Mwalimu wa BIOLOGY aliwaambia wanafunzi wake wachore sehemu ya kike ya uzazi (uke),mwanafunzi mmoja wa kike alijisikia aibu na kuinama chini,mwanafunzi wa kiume akapiga kelele na kusema 'hiiii mwalimuuu ana kopi huyu'.[/h]
Ni kweli Angel Nylon. Lakini post yako ilikuwa kwa kiingereza au Kiswahili? Naikumbuka sana kwa sababu nilichangia hiyo post yako na ilirudiwa na mwana JF mmoja, halafu huyu tena.